# DAKTARI WA MIFUGO DARAJA LA II (VETERNARY OFFICER II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/05/20/daktari-wa-mifugo-daraja-la-ii-veternary-officer-ii-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-05-20T14:31:17+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #13312

**Role:** DAKTARI WA MIFUGO DARAJA LA II (VETERNARY OFFICER II)

**Open posts:** 1 position

**Published:** 22 March 2026

**Deadline:** 04 April 2026

**Salary scale:** TGS F

## Duties and Responsibilities

 1.  Kutoa huduma za afya ya mifugo.
 2.  Kufanya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo katika eneo lake la kazi kwa mujibu wa
     sheria.
 3.  Kutayarisha na kusimamia mipango ya kuzuia, kudhibiti na kutokomeza magonjwa ya
     mifugo katika eneo lake.
 4.  Kusimamia haki za wanyama.
 5.  Kushiriki katika uchunguzi wa magonjwa ya wanyama pori katika eneo lake.
 6.  Kusimamia na kuratibu uzingatiaji wa Kanuni na Sheria za Magonjwa, ukaguzi wa 
     mifugo na mazao yake na pembejeo za mifugo.
 7.  Kuratibu na kusimamia shughuli za usafi wa machinjio na ukaguzi wa nyama katika
     eneo lake la kazi.
 8.  Kuandaa taarifa ya afya ya mifugo katika eneo lake la kazi na
 9.  Kufanya kazi nyingine zozote za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

 

## Qualifications

Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada ya kwanza ya Tiba ya Wanyama (Veterinary Medicine)
kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) au kutoka Chuo kingine kinachotambuliwa
na Serikali ambao wamesajiliwa na Baraza la Veterinari Tanzania.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
