# DEREVA DARAJA LA II (DRIVER GRADE II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/05/20/dereva-daraja-la-ii-driver-grade-ii-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-05-20T14:31:20+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #13314

**Role:** DEREVA DARAJA LA II (DRIVER GRADE II)

**Open posts:** 296 positions

**Published:** 22 March 2026

**Deadline:** 04 April 2026

**Salary scale:** TGS. B

## Duties and Responsibilities

 1. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
 2. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
 3.  Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
 4. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
 5. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
 6. Kufanya usafi wa gari; na
 7. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

## Qualifications

Mwombaji Awe amehitimu Kidato cha nne (Form IV) na kupata Cheti cha Mtihani wa Kidato
cha nne (IV). Awe na Leseni ya Daraja la ‘E’ au ‘C’ ya uendeshaji magari pamoja 
na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua Mwaka mmoja (1) bila kusababisha
ajali, pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika
na awe amehudhuria mafunzo ya Msingi ya uendeshaji Magari (Basic Driving Course)
yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa
na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
