Nafasi za Kazi ( Walk in Interview Monday March 9) Madereva Pikipiki at M-Gas , Dar es salaam – March 2026. – Helpful Jobs Vacancies in Tanzania

    Nafasi za Kazi ( Walk in Interview Monday March 9) Madereva Pikipiki at M-Gas , Dar es salaam – March 2026.

    • Full Time
    • Dar es salaam
    • Posted 1 week ago

    WebsiteM-Gas

    M-Gas

    Nafasi za Kazi ( Walk in Interview) Madereva Pikipiki at M-Gas , Dar es salaam – March 2026.

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    Kampuni ya uuzaji na usambazaji wa gesi ya kupikia majumbani inatafuta Madereva Pikipiki wenye sifa zifuatazo:

    Sifa za Mwombaji:

    1. Elimu:Kuanzia Kidato cha Nne (Form IV).
    2. Leseni:Lazima uwe na Leseni ya Udereva.
    3. Ujuzi:Uwezo wa kutafuta wateja.
    4. Utambulisho:Kitambulisho cha NIDA au namba ya NIDA.

    Elimu:Kuanzia Kidato cha Nne (Form IV).

    Leseni:Lazima uwe na Leseni ya Udereva.

    Ujuzi:Uwezo wa kutafuta wateja.

    Utambulisho:Kitambulisho cha NIDA au namba ya NIDA.

    Mikataba na Maslahi:

    • Mkataba:Ajira ya mwaka mmoja.
    • Mshahara:Tsh 400,000 (Laki nne) pamoja na bonasi.
    • Bima:Bima ya afya kwa mfanyakazi na familia yake.
    • Vifaa vya Kazi:Pikipiki, mafuta ya pikipiki, simu na bando, pamoja na sare (uniform) za kazi.

    Mkataba:Ajira ya mwaka mmoja.

    Mshahara:Tsh 400,000 (Laki nne) pamoja na bonasi.

    Bima:Bima ya afya kwa mfanyakazi na familia yake.

    Vifaa vya Kazi:Pikipiki, mafuta ya pikipiki, simu na bando, pamoja na sare (uniform) za kazi.

    Jinsi ya Kuomba:

    Fika ofisini kwetu kwa ajili ya usaili (interview).

    • Mahali:Nyuma ya jengo la Vodacom – Morocco, Nyumba namba 57, Uporoto Street.
    • Muda:Saa 2:00 kamili asubuhi, siku ya Jumatatu March 9, 2026
    • Mawasiliano:Piga simu No:0793-361426

    Mahali:Nyuma ya jengo la Vodacom – Morocco, Nyumba namba 57, Uporoto Street.

    Muda:Saa 2:00 kamili asubuhi, siku ya Jumatatu March 9, 2026

    Mawasiliano:Piga simu No:0793-361426

    Inashauriwa:Kwa kuwa tangazo linasema usaili ni “siku ya Jumatatu – March 9, 2026,” waombaji wanapaswa kupiga simu haraka iwezekanavyo.