# MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/06/13/mhasibu-daraja-la-ii-accountant-grade-ii-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-06-13T14:29:25+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #13517

**Role:** MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)

**Open posts:** 10 positions

**Published:** 13 June 2026

**Deadline:** 26 June 2026

**Salary scale:** TGS E

## Duties and Responsibilities

 1. Kuandika taarifa ya mapato na matumizi;
 2. Kuandika taarifa za maduhuli;
 3. Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati;
 4. Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha;
 5. Kukagua hati za malipo; na
 6. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita wenye shahada ya Uhasibu au Biashara waliojiimarisha
kwenye fani ya Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu kutoka Taasisi inayotambuliwa
na Serikali pamoja na cheti cha Taaaluma ya Uhasibu CPA(T) au sifa inayolingananayo
inayotambuliwa na NBAA.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
