# MTEKNOLOJIA MSAIDIZI DARAJA LA II – MAABARA (ASSISTANT HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/06/13/mteknolojia-msaidizi-daraja-la-ii-maabara-assistant-health-laboratory-technologist-ii-at-m/
- Published: 2026-06-13T14:29:14+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #13486

**Role:** MTEKNOLOJIA MSAIDIZI DARAJA LA II – MAABARA (ASSISTANT HEALTH LABORATORY
TECHNOLOGIST II)

**Open posts:** 10 positions

**Published:** 13 June 2026

**Deadline:** 26 June 2026

**Salary scale:** TGHS A

## Duties and Responsibilities

 1. Kuandaa vitendanishi (reagents) vya kufanyia vipimo vya Maabara;
 2. Kufanya kazi za awali sampuli zinazoletwa maabara;
 3. Kukusanya damu kutoka kwa wagonjwa na watu wanaojitolea;
 4. Kurekodi matokeo ya vipimo kwenye regista;
 5. Kutayarisha vifaa vya kazi;
 6. Kuhifadhi kwa mujibu wa taratibu sampuli zote zinazohitaji kuhifadhiwa baada ya
    uchunguzi;
 7. .Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu,
    uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

 

## Qualifications

Kuajiriwa wenye Astashahada ya sayansi ya Maabara za Afya kutoka Chuo kinachotambuliwa
na Serikali na awe amesajiliwa na Baraza la Wataalam wa Maabara.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
