# MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – DAWA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -PHARMACY II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/06/13/mteknolojia-msaidizi-dawa-assistant-technologist-pharmacy-ii-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-06-13T14:29:17+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #13487

**Role:** MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – DAWA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -PHARMACY II)

**Open posts:** 10 positions

**Published:** 13 June 2026

**Deadline:** 26 June 2026

**Salary scale:** TGHS A.

## Duties and Responsibilities

 1. Kuandaa mahitaji na matumizi ya dawa na vifaa tiba;
 2. Kuagiza, kuhifadhi na kugawa dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi;
 3. Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba;
 4. Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba;
 5. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu,
    uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wenye cheti cha Astashahada katika fani za  Dawa kutoka Chuo 
kinachotambuliwa na Serikali naambao wamesajiliwa na Baraza la Famasi.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
