# MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – RADIOLOJIA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -RADIOLOGY II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/06/13/mteknolojia-msaidizi-radiolojia-assistant-technologist-radiology-ii-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-06-13T14:29:20+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #13488

**Role:** MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – RADIOLOJIA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -RADIOLOGY II)

**Open posts:** 10 positions

**Published:** 13 June 2026

**Deadline:** 26 June 2026

**Salary scale:** TGHS – A

## Duties and Responsibilities

 1. Kufanya kazi za kupokea na kupima wagonjwa katika maeneo ya vipimovya mifupa na
    kifua (chests and Skeletal Radiography);
 2. Kuandaa dawa za kusafisha picha;
 3. Kusafisha picha;
 4. Kutunza mitambo ya X-Ray na ya kusafisha picha;
 5. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu,
    uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

 

 

## Qualifications

Kuajiriwa waombaji wenye cheti cha Astashahada katika fani za Radiolojia kutoka 
Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa
Mionzi Tanzania.

 

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
