# MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II – RADIOLOJIA (RADIOGRAPHYTECHNOLOGIST II – RADIOLOGY) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/06/13/mteknolojia-wa-radiografa-daraja-ii-radiolojia-radiographytechnologist-ii-radiology-at-mda/
- Published: 2026-06-13T14:29:22+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #13493

**Role:** MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II – RADIOLOJIA (RADIOGRAPHYTECHNOLOGIST
II – RADIOLOGY)

**Open posts:** 10 positions

**Published:** 13 June 2026

**Deadline:** 26 June 2026

**Salary scale:** TGTS B

## Duties and Responsibilities

 1.  Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi.
 2.  Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi.
 3.  Kukagua picha za X-Ray zilizopimwa kwa ubora na kutosheleza (diagnostic quality).
 4.  Kutunza picha za wagonjwa hadi majibu yanapowafikia madaktari waliowatuma wagonjwa.
 5.  Kusimamia watumishi walio chini yake.
 6.  Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya na kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake
     la kazi.
 7.  Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake
     la kazi (sterilization).
 8.  Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi.
 9.  Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu,
     uzoefu na ujuzi wake.

## Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Radiolojia kutoka Chuo 
kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi
Tanzania.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
