# MUUGUZI II (NURSE II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/06/13/muuguzi-ii-nurse-ii-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-06-13T14:29:31+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #13541

**Role:** MUUGUZI II (NURSE II)

**Open posts:** 10 positions

**Published:** 13 June 2026

**Deadline:** 26 June 2026

**Salary scale:** TGHS A

## Duties and Responsibilities

 1.  Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na      sehemu
     zote zinapotolewa huduma za afya;
 2.  Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu yake     ya 
     kazi;
 3.  Kukusanya takwimu na kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi;
 4.  Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani;
 5.  Kutoa ushauri nasaha;
 6.  Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango;
 7.  Kutoa huduma za uzazi na afya ya mtoto;
 8.  Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya;
 9.  Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yake ya kazi; na
 10. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi na elimu, uzoefu na 
     ujuzi wake.

## Qualifications

Kuajiriwa wenye cheti cha uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa
na Serikali na kusajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
