# TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST GRADE II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/06/13/tabibu-wa-kinywa-na-meno-daraja-la-ii-dental-therapist-grade-ii-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-06-13T14:29:27+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #13519

**Role:** TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST GRADE II)

**Open posts:** 10 positions

**Published:** 13 June 2026

**Deadline:** 26 June 2026

**Salary scale:** TGHS B

## Duties and Responsibilities

 1. Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi.
 2. Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida.
 3. Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo.
 4. Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi.
 5. Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za Mfuko wa Afya ya Jamii.
 6. Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma.
 7. Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji.
 8. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi

 

## Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno (Diploma in Clinical Dentistry) kutoka
Chuo kinachotambuliwa na Serikali, pia awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
