# AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) at Wizara ya Afya

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/07/09/afisa-muuguzi-daraja-la-ii-assistant-nursing-officer-ii-at-wizara-ya-afya/
- Published: 2026-07-09T07:02:19+00:00
- Author: admin

## Job Overview

**Employer:** Wizara ya Afya

**Advert reference:** Ajira #13722

**Role:** AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II)

**Open posts:** 40 positions

**Published:** 09 July 2026

**Deadline:** 18 July 2026

**Salary scale:** TGHS B (MOH)

## Duties and Responsibilities

i. Kutoa huduma za uuguzi

ii. Kukusanya takwimu muhimu za afya.

iii. Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake

iv. Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya

v. Kutoa huduma za kinga na uzazi

vi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu,
uzoefu na ujuzi wake

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, kutoka Chuo kinachotambuliwa
na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
