JOBS July 17, 2026
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II) at Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji
July 17, 20261 min read
Job Overview
Employer: Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji
Advert reference: Ajira #13745
Role: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II)
Open posts: 2 positions
Published: 17 July 2026
Deadline: 31 July 2026
Salary scale: TGS C
Duties and Responsibilities
- Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
- Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
- Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
- Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)
- Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
- Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
- Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)
Qualifications
Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.