# MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II- MAGARI(MOTOR VEHICLE MECHANICS) at Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/07/18/mkufunzi-msaidizi-maendeleo-ya-jamii-ii-magarimotor-vehicle-mechanics-at-wizara-ya-elimu-s/
- Published: 2026-07-18T09:28:51+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

**Advert reference:** Ajira #13751

**Role:** MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II- MAGARI(MOTOR VEHICLE MECHANICS)

**Open posts:** 5 positions

**Published:** 18 July 2026

**Deadline:** 31 July 2026

**Salary scale:** TGS C

## Duties and Responsibilities

i.    Kufundisha masomo ya fani ya Magari katika vyuo;
ii.    Kuandaa mitiririko
na mpangilio wa masomo;iii.   Kusimamia masomo ya vitendo;iv.   Kuwapima wanachuo
wakati wa mazoezi na kwenye mitihani;v.    Kufanya utafiti wa mahitaji ya mafunzo
katika Jamii inayozunguka  chuo;vi.   Kuandaa muhtasari wa masomo;vii.   Kufanya
maandalizi ya namna ya kuendesha mafunzo;viii.  Kuandaa vielelezo vya kufundishia;
ix.    Kuendesha mafunzo ya nje ya Chuo (Outreach Programs); nax.    Kutunga, Kusimamia
na Kusahihisha mitihani.

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada katika
fani ufundi wa Magari kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
