# MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UANDAAJI WA CHAKULA (FOOD PRODUCTION) at Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/07/18/mkufunzi-msaidizi-maendeleo-ya-jamii-ii-uandaaji-wa-chakula-food-production-at-wizara-ya-2/
- Published: 2026-07-18T09:28:52+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

**Advert reference:** Ajira #13750

**Role:** MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UANDAAJI WA CHAKULA (FOOD PRODUCTION)

**Open posts:** 2 positions

**Published:** 18 July 2026

**Deadline:** 31 July 2026

**Salary scale:** TGS C

## Duties and Responsibilities

 1. Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
 2. Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
 3. Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
 4. Kutunza vifaa vya kufundishia; v. Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
 5. Kutoa ushauri wa kitaalam; vii. Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani
    chuoni;
 6. Kutunga na kusahihisha mitihani;
 7. Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali;

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya ‘’Food
Production’’ kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
