# MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UHAZILI (SECRETARIAL STUDIES) at Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/07/18/mkufunzi-msaidizi-maendeleo-ya-jamii-ii-uhazili-secretarial-studies-at-wizara-ya-elimu-say/
- Published: 2026-07-18T09:28:47+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

**Advert reference:** Ajira #13753

**Role:** MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UHAZILI (SECRETARIAL STUDIES)

**Open posts:** 5 positions

**Published:** 18 July 2026

**Deadline:** 31 July 2026

**Salary scale:** TGS C

## Duties and Responsibilities

 1.  Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
 2.  Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo; iii. Kupima maendeleo ya wanachuo katika
     nadharia na vitendo;
 3.  Kutunza vifaa vya kufundishia;
 4.  Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
 5.  Kutoa ushauri wa kitaalam;
 6.  Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
 7.  Kutunga na kusahihisha mitihani;
 8.  Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha
     maendeleo katika jamii; na
 9.  Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya uhazili(
Secretarial Studies) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
