# MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – USEREMALA (CARPENTRY AND JOINERY) at Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/07/18/mkufunzi-msaidizi-maendeleo-ya-jamii-ii-useremala-carpentry-and-joinery-at-wizara-ya-elimu/
- Published: 2026-07-18T09:28:49+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

**Advert reference:** Ajira #13752

**Role:** MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – USEREMALA (CARPENTRY AND JOINERY)

**Open posts:** 9 positions

**Published:** 18 July 2026

**Deadline:** 31 July 2026

**Salary scale:** TGS C

## Duties and Responsibilities

 1. Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
 2. Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
 3. Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
 4. Kutunza vifaa vya kufundishia; v. Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
 5. Kutoa ushauri wa kitaalam;
 6. Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
 7. Kutunga na kusahihisha mitihani; ix. Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu 
    kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
 8. Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Useremala(
carpentry and Joinery) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
