# AFISA ARDHI DARAJA LA II (LAND OFFICER II) at Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/07/24/afisa-ardhi-daraja-la-ii-land-officer-ii-at-wizara-ya-ardhi-nyumba-na-maendeleo-ya-makazi/
- Published: 2026-07-24T09:29:18+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

**Advert reference:** Ajira #13758

**Role:** AFISA ARDHI DARAJA LA II (LAND OFFICER II)

**Open posts:** 40 positions

**Published:** 24 July 2026

**Deadline:** 06 August 2026

**Salary scale:** TGS.E

## Duties and Responsibilities

 1. Kuingiza kumbukumbu katika kompyuta;
 2. Kutoa ushauri kwa wateja;
 3. Kupokea, kukagua na kusambaza majalada kwa maafisa kwa utekelezaji.
 4. Kusaidia Maafisa Ardhi katika ukaguzi na kuchukua kumbukumbu, picha taarifa, vipimo
    vya majumba na michoro;
 5. Kujumuisha na kuandaa taarifa za ukaguzi;
 6. Kuandaa rasimu za Hati na uingizaji wa plani ya Hati (deed plan);
 7. Kuagiza plani za Hati (Deed Plan).

## Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi ardhi na Uthamini
au Shahada ya Sheria kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
