# FUNDI SANIFU DARAJA LA II UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II) at Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/07/24/fundi-sanifu-daraja-la-ii-upimaji-ardhi-land-technician-survey-ii-at-wizara-ya-ardhi-nyumb/
- Published: 2026-07-24T09:29:19+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

**Advert reference:** Ajira #13759

**Role:** FUNDI SANIFU DARAJA LA II UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II)

**Open posts:** 10 positions

**Published:** 24 July 2026

**Deadline:** 06 August 2026

**Salary scale:** TGS.C

## Duties and Responsibilities

 1. Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji vifaa vya upimajoi na mahitaji 
    ya jumla
 2. Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji
 3. Kufanya upimaji na kukusanya taarifa na takwimu zote za upimaji
 4. Kuchora “Sketch” ya mchoro ya upimaji
 5. Kufanya mahesabu ya upimaji

 

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi
ya miaka miwili katika fani za upimaji ardhi kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa
na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
