Skip to content
JOBS July 24, 2026

HEALTH ASSISTANT II (MORTUARY ATTENDANT) at Halmashauri ya Wilaya ya Siha

July 24, 20261 min read

Job Overview

Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Siha

Advert reference: Ajira #13886

Role: HEALTH ASSISTANT II (MORTUARY ATTENDANT)

Open posts: 3 positions

Published: 24 July 2026

Deadline: 06 August 2026

Salary scale: TGHS A

Duties and Responsibilities

  1. Kusafisha wodi, maeneo ya hospitali, kumbi na vifaa;

  2.  Kusafisha na kuua vijidudu katika chumba cha kuhifadhia maiti kila siku;

  3. Kugawa mashuka ya vitanda, mablanketi na magodoro katika kumbi za malazi;

  4. Kuwasaidia wagonjwa wenye ulemavu wakati wa kuoga au kutumia choo;

  5. Kuwasaidia kulisha wagonjwa wasioweza kujilisha wenyewe;

  6. Kukusanya na kupeleka nguo za wagonjwa kwenye sehemu ya kufulia, na kutunza kwa usalama vifaa na zana za usafi;

  7. Kukusanya na kupeleka sampuli za vipimo vya wagonjwa maabara;

  8. Kufanya majukumu mengine yanayohusiana na kazi hiyo kama atakavyopangiwa na msimamizi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (CSEE) au Kidato cha Sita (ACSEE), pamoja na Cheti cha mwaka mmoja katika fani zinazohusiana na afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author