# HEALTH ASSISTANT II (MORTUARY ATTENDANT) at Halmashauri ya Wilaya ya Siha

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/07/24/health-assistant-ii-mortuary-attendant-at-halmashauri-ya-wilaya-ya-siha/
- Published: 2026-07-24T11:28:50+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** Halmashauri ya Wilaya ya Siha

**Advert reference:** Ajira #13886

**Role:** HEALTH ASSISTANT II (MORTUARY ATTENDANT)

**Open posts:** 3 positions

**Published:** 24 July 2026

**Deadline:** 06 August 2026

**Salary scale:** TGHS A

## Duties and Responsibilities

 1. Kusafisha wodi, maeneo ya hospitali, kumbi na vifaa;
 2.  Kusafisha na kuua vijidudu katika chumba cha kuhifadhia maiti kila siku;
 3. Kugawa mashuka ya vitanda, mablanketi na magodoro katika kumbi za malazi;
 4. Kuwasaidia wagonjwa wenye ulemavu wakati wa kuoga au kutumia choo;
 5. Kuwasaidia kulisha wagonjwa wasioweza kujilisha wenyewe;
 6. Kukusanya na kupeleka nguo za wagonjwa kwenye sehemu ya kufulia, na kutunza kwa
    usalama vifaa na zana za usafi;
 7. Kukusanya na kupeleka sampuli za vipimo vya wagonjwa maabara;
 8. Kufanya majukumu mengine yanayohusiana na kazi hiyo kama atakavyopangiwa na msimamizi
    wake.

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (CSEE) au Kidato cha Sita (ACSEE), pamoja na
Cheti cha mwaka mmoja katika fani zinazohusiana na afya kutoka Chuo kinachotambuliwa
na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
