MKUFUNZI ARDHI DARAJA LA II (LAND TUTOR II – ENVIRONMENTAL MANAGEMENT) at Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Job Overview
Employer: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Advert reference: Ajira #13763
Role: MKUFUNZI ARDHI DARAJA LA II (LAND TUTOR II – ENVIRONMENTAL MANAGEMENT)
Open posts: 1 position
Published: 24 July 2026
Deadline: 06 August 2026
Salary scale: TGS.E
Duties and Responsibilities
i. Kufundisha
ii. Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (projects)
iii. Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje
iv. Kuendesha tafiti na ushauri
v. Kuandaa taarifa za tathmnini na mapendekezo ya mitaala ya masomo
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Usimamizi wa Mazingira (Environmental Management) kutoka kwenye Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali wenye GPA isiyopungua 3.0.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.
About the author
Related posts
TUTORIAL ASSISTANT (ACCOUNTING AND FINANCE) at Chuo Kikuu Mzumbe (MU)
TUTORIAL ASSISTANT (ECONOMICS POLICY AND PLANNING) at Chuo Kikuu Mzumbe (MU)
TUTORIAL ASSISTANT (MONITORING AND EVALUATION) at Chuo Kikuu Mzumbe (MU)
TUTOR/INSTRUCTOR II – AGRIBUSINESS at Chuo cha Sukari cha Taifa (NSI)