MKUFUNZI ARDHI DARAJA LA II (LAND TUTOR II – REAL ESTATE, FINANCE AND INVESTMENT) at Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Job Overview
Employer: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Advert reference: Ajira #13762
Role: MKUFUNZI ARDHI DARAJA LA II (LAND TUTOR II – REAL ESTATE, FINANCE AND INVESTMENT)
Open posts: 2 positions
Published: 24 July 2026
Deadline: 06 August 2026
Salary scale: TGS.E
Duties and Responsibilities
i. Kufundisha.
ii. Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).
iii. Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.
iv. Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.
v. Kuendesha tafiti na ushauri.
vi. Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.
Qualifications
uajiriwa muhitimu mwenye Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo; Usimamizi wa Milki na Nyenzo (Bachelor of Science in Properties and Facilities Management -BSc.PFM), Fedha na Uwekezaji katika Milki Kuu (Bachelor of Science in Real Estate Finance and Investment (BSc.REFI), Sayansi ya Usimamizi wa Ardhi na Uthamini (Bachelor of Science in Land Management and Valuation – BSc.LMV) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali wenye GPA isiyopungua 3.0
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.