# MKUFUNZI MSAIDIZI ARDHI (ASSISTANT LAND TUTOR II – LAND MANAGEMENT AND EVALUATION) at Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/07/24/mkufunzi-msaidizi-ardhi-assistant-land-tutor-ii-land-management-and-evaluation-at-wizara-y/
- Published: 2026-07-24T10:28:46+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

**Advert reference:** Ajira #13764

**Role:** MKUFUNZI MSAIDIZI ARDHI (ASSISTANT LAND TUTOR II – LAND MANAGEMENT AND
EVALUATION)

**Open posts:** 2 positions

**Published:** 24 July 2026

**Deadline:** 06 August 2026

**Salary scale:** TGS D

## Duties and Responsibilities

i. Kufundisha

ii. Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (projects)

iii. Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani nan je.

iv. Kuendesha tafiti na ushauri

v. Kuandaa taarifa za tathmnini na mapendekezo ya mitaala ya masomo

## Qualifications

Kuajiriwa mwenye Stashada ya Usimamizi wa Ardhi na Uthamini kutoka Vyuo vinavyotambuliwa
na Serikali wenye GPA isiyopungua 3.0

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
