# NAHODHA DARAJA LA II (SKIPPER) at Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/08/02/nahodha-daraja-la-ii-skipper-at-halmashauri-ya-wilaya-ya-mafia/
- Published: 2026-08-02T12:29:05+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

**Advert reference:** Ajira #13920

**Role:** NAHODHA DARAJA LA II (SKIPPER)

**Open posts:** 2 positions

**Published:** 31 July 2026

**Deadline:** 12 August 2026

**Salary scale:** TGS C

## Duties and Responsibilities

 1.  Kuendesha boti ya doria;
 2.  Kubuni, kutengeneza na kutunza zana za kuvulia samaki (Fishing Gears);
 3.  Kuongoza na kuendesha boti/meli ndogo zenye urefu wa futi 40 na uzito wa kuandikishwa
     wa tani 50 – 100 “Gross Tonnage (GRT)”;
 4.  Kuendesha shughuli za uvuvi katika meli; Kushiriki katika kuendesha doria za baharini
     na nchi kavu, na Doria za EEZ;
 5.  Kusoma taarifa za VMS na kuziwasilisha kwa Mkuu wa kituo kila siku, wiki, mwezi,
     robo mwaka, nusu mwaka na mwaka;
 6.  Kukamata wahalifu wa Sheria na Kanuni za Uvuvi;
 7.  Kusaidia kutunza Kumbukumbu zote za matumizi ya mafuta katika vyombo vya doria;
 8.  Kusaidia kuandaa ratiba ya kufanya matengenezo na “service” ya vyombo vyote vya
     doria (service schedule);
 9.  Kutekeleza majukumu yote ya kikosi kama yalivyoainishwa katika Kifungu cha 32 
     cha Sheria ya Uvuvi na. 22 ya mwaka 2003; na
 10. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wa kazi.

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV au VI wenye Stashahada (Diploma NTA – level 
6) ya Unahodha na Uvuvi (Master Fisherman) kutoka Vyuo vya Wakala wa Elimu na Mafunzo
ya Uvuvi (Fisheries Education and Training Agency – FETA) au sifa inayolingana na
hiyo kutoka vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
