# AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIRONMENTAL HEALTH OFFICER GRADE II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/09/03/afisa-afya-mazingira-msaidizi-daraja-la-ii-assistant-environmental-health-officer-grade-ii/
- Published: 2026-09-03T15:29:16+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #14162

**Role:** AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIRONMENTAL HEALTH
OFFICER GRADE II)

**Open posts:** 26 positions

**Published:** 03 September 2026

**Deadline:** 17 September 2026

**Salary scale:** TGHS B

## Duties and Responsibilities

i. Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa;

ii. Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa;

iii. Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa
ya kuambukiza;

iv. Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha
katika mamlaka husika;

v. Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho
ili kuchukua hatua zinazostahili;Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii;

vi. Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama
na afya ya jamii;

vii. Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia
jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo;

viii. Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira;

ix. Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi
ya Kata; na

x. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu,
uzoefu na ujuzi wake.

## Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa
na Serikali na wawe amesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya Mazingira.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
