# AFISA MIFUGO DARAJA LA II (LIVESTOCK OFFICER GRADE II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/09/03/afisa-mifugo-daraja-la-ii-livestock-officer-grade-ii-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-09-03T15:28:55+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #14152

**Role:** AFISA MIFUGO DARAJA LA II (LIVESTOCK OFFICER GRADE II)

**Open posts:** 39 positions

**Published:** 03 September 2026

**Deadline:** 17 September 2026

**Salary scale:** TGS.D

## Duties and Responsibilities

 1.  Kubuni mipango ya uzalishaji mifugo wilayani;
 2.  Kuratibu uzalishaji wa mifugokatikamashamba madogo na makubwa ya mifugo;
 3.  Kusaidia kuratibu mipango ya ugani kuhusiana na uzalishaji wa mifugo wilayani;
 4.  Kuratibuna kuendesha mafunzo ya ufugajibora, usindikaji wa mazao ya mifugo kwa
     wataalam wa mifugo na wafugaji;
 5.  Kufanyamapitio na marekebisho ya miundombinu ya masoko ya mifugo wilayani kwake
     na mkoani;
 6.  Kubuni, kuanzisha na kutekeleza miradi ya maendeleo ya mifugo wilayani;
 7.  Kufanya soroveya ya rasilimali (resource survey) k.m. mifugo, vyakula vya mifugo,
     malisho n.k. katika eneo lake la kazi;
 8.  Kuendesha mafunzokwa mawakala, wauzaji na wataalam juu ya njia salama katika kuweka
     na kusambaza pembejeo za mifugo;
 9.  Kutafiti maeneo mapya yanayofaa kwa ufugaji wa mifugo mbalimbali;
 10. .Kufanya tathmini juu ya uharibifu wa mazingira unaotokana na ufugaji katika wilaya;
 11. .Kushiriki katika shughuli za kudhibiti milipuko ya wanyama/viumbe waharibifu 
     wa malisho;
 12. Kufuatilia,kuweka, kuchambua na kutafsiri takwimu za uzalishaji wa mifugo;
 13. Kuandaa taarifa ya jumla juu ya maendeleo ya mifugo;
 14. .Kufanya kazi nyingine zinazohusianana fani yake kama atakavyoelekezwa na mkuu
     wake wa kazi.

 

## Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Wanyama (Animal Science) au Sayansi ya Kilimo
waliobobea katika Sayansi ya Wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine au
sifa inayolingana na hiyo kutoka chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

 

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
