Skip to content
JOBS September 3, 2026

AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER GRADE II) at MDAs & LGAs

September 3, 20261 min read

Job Overview

Employer: MDAs & LGAs

Advert reference: Ajira #14151

Role: AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER GRADE II)

Open posts: 128 positions

Published: 03 September 2026

Deadline: 17 September 2026

Salary scale: TGHS-B

Duties and Responsibilities

  1. Kutoa huduma za uuguzi.
  2. Kukusanya takwimu muhimu za afya.
  3. Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake.
  4. Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya.
  5. Kutoa huduma za kinga na uzazi.
  6. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

 

Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, ya muda usiopungua miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author