# AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER GRADE II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/09/03/afisa-muuguzi-msaidizi-daraja-la-ii-assistant-nursing-officer-grade-ii-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-09-03T15:28:53+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #14151

**Role:** AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER GRADE II)

**Open posts:** 128 positions

**Published:** 03 September 2026

**Deadline:** 17 September 2026

**Salary scale:** TGHS-B

## Duties and Responsibilities

 1. Kutoa huduma za uuguzi.
 2. Kukusanya takwimu muhimu za afya.
 3. Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake.
 4. Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya.
 5. Kutoa huduma za kinga na uzazi.
 6. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu,
    uzoefu na ujuzi wake.

 

## Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, ya muda usiopungua miaka miwili 
kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na 
Wakunga Tanzania

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
