# MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA II ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST GRADE II) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/09/03/mteknolojia-maabara-daraja-ii-health-laboratory-technologist-grade-ii-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-09-03T15:28:58+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #14154

**Role:** MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA II ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST GRADE II)

**Open posts:** 25 positions

**Published:** 03 September 2026

**Deadline:** 17 September 2026

**Salary scale:** TGHS B

## Duties and Responsibilities

 1. Kupima sampuli zinazoletwa maabara.
 2. Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi
    za juu.
 3. Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya
    kemikali.
 4. Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi.
 5. Kufundisha watumishi walio chini yake.
 6. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu,
    uzoefu na ujuzi wake

## Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Maabara za afya kutoka 
Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalam wa Maabara.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
