# MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA FIZIKIA (PHYSICS SUBJECT) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/09/03/mwalimu-daraja-la-iii-b-somo-la-fizikia-physics-subject-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-09-03T15:29:10+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #14158

**Role:** MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA FIZIKIA (PHYSICS SUBJECT)

**Open posts:** 43 positions

**Published:** 03 September 2026

**Deadline:** 17 September 2026

**Salary scale:** TGRS C

## Duties and Responsibilities

 1. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi 
    wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
 2. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
 3. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za  Maendeleo ya Wanafunzi;
 4. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
 5. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa  ushauri nasaha
    na unasihi;
 6. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
 7. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
 8. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

 

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu
masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada 
ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Fizikia kutoka  Vyuo 
vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
