Skip to content
JOBS September 3, 2026

MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA HISABATI (MATHEMATICS SUBJECT) at MDAs & LGAs

September 3, 20261 min read

Job Overview

Employer: MDAs & LGAs

Advert reference: Ajira #14159

Role: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA HISABATI (MATHEMATICS SUBJECT)

Open posts: 48 positions

Published: 03 September 2026

Deadline: 17 September 2026

Salary scale: TGTS-C

Duties and Responsibilities

  1. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
  2. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
  3. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za  Maendeleo ya Wanafunzi;
  4. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
  5. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa  ushauri nasaha na unasihi;
  6. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
  7. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
  8. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

 

Qualifications

Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Hisabati kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali. 

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author