# MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA FIZIKIA (PHYSICS SUBJECT) at MDAs & LGAs

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/09/03/mwalimu-daraja-la-iii-c-somo-la-fizikia-physics-subject-at-mdas-lgas/
- Published: 2026-09-03T15:29:01+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** MDAs & LGAs

**Advert reference:** Ajira #14156

**Role:** MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA FIZIKIA (PHYSICS SUBJECT)

**Open posts:** 55 positions

**Published:** 03 September 2026

**Deadline:** 17 September 2026

**Salary scale:** TGTS- D

## Duties and Responsibilities

 1. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi 
    wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
 2. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
 3. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
 4. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
 5. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha 
    na unasihi;
 6. Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
 7. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;
 8. Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

 

## Qualifications

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu(
Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Fizikia au Shahada isiyo ya 
Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Fizikia  pamoja na Stashahada ya Uzamili
ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu  ya Juu vinavyotambulika
na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
