Skip to content
JOBS September 8, 2026

MHUDUMU WA BOTI (DECKHAND AUXILLIARY) at Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe

September 8, 20261 min read

Job Overview

Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

Advert reference: Ajira #14191

Role: MHUDUMU WA BOTI (DECKHAND AUXILLIARY)

Open posts: 1 position

Published: 08 September 2026

Deadline: 20 September 2026

Salary scale: TGOS A

Duties and Responsibilities

  1. Kuangalia usalama wa boti za Uvuvi;
  2. Kufanya usafi wa boti za Uvuvi;
  3. Kutunza usafi wa zana za uvuvi na vyombo vya kuhifadhia samaki;
  4. Kufanya matengenezo madogo madogo ya zana za uvuvi; na
  5. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV na wenye Cheti cha mafunzo ya Teknolojia ya Uvuvi kutoka Vyuo vya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (Fisheries Education and Training Agency – FETA) au wenye cheti cha mafunzo ya Uhudumu wa Meli kutoka Chuo cha Ubaharia cha Dar es Salaam – DMI au sifa inayolingana na hiyo kutoka vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author