# MHUDUMU WA BOTI (DECKHAND AUXILLIARY) at Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/09/08/mhudumu-wa-boti-deckhand-auxilliary-at-halmashauri-ya-wilaya-ya-wangingombe/
- Published: 2026-09-08T14:29:15+00:00
- Author: 

## Job Overview

**Employer:** Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

**Advert reference:** Ajira #14191

**Role:** MHUDUMU WA BOTI (DECKHAND AUXILLIARY)

**Open posts:** 1 position

**Published:** 08 September 2026

**Deadline:** 20 September 2026

**Salary scale:** TGOS A

## Duties and Responsibilities

 1. Kuangalia usalama wa boti za Uvuvi;
 2. Kufanya usafi wa boti za Uvuvi;
 3. Kutunza usafi wa zana za uvuvi na vyombo vya kuhifadhia samaki;
 4. Kufanya matengenezo madogo madogo ya zana za uvuvi; na
 5. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

## Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV na wenye Cheti cha mafunzo ya Teknolojia ya 
Uvuvi kutoka Vyuo vya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (Fisheries Education and
Training Agency – FETA) au wenye cheti cha mafunzo ya Uhudumu wa Meli kutoka Chuo
cha Ubaharia cha Dar es Salaam – DMI au sifa inayolingana na hiyo kutoka vyuo vingine
vinavyotambuliwa na Serikali.

## How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference
above if the portal opens at the vacancies list.
