# TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU ARDHI

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/10/20/tangazo-la-kuitwa-kazini-chuo-kikuu-ardhi/
- Published: 2026-10-20T08:11:12+00:00
- Author: 

**tangazo la kuitwa kazini chuo kikuu ardhi** is an official placements published
by Ajira Tanzania on 09 October 2026.

## Announcement Details

**Announcement type:** Placements

**Official reference:** bbcf5a07-858c-402c-9256-3f9eb749e98b

## Tangazo La Kuitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi

Kumb. Na. CBA.314/369/01 Tarehe: 09 Oktoba, 2026

## Tangazo La Kuitwa Kazini

Chuo Kikuu Ardhi (ARU) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya

usaili tarehe 10 na 11 Septemba, 2026 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu

usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa

kufika Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Jengo la Utawala, Chumba Na. 113 tarehe 12

Oktoba, 2026 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa

katika tangazo hili ili zihakikiwe kabla ya kupewa barua za ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa

hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine

pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:

(i) Vyeti halisi (Original Certificates) na nakala mbili za vyeti hivyo ambazo

hazijathibitishwa na Mamlaka za kisheria (non-certified by

Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;

(ii) Cheti cha kuzaliwa;

(iii) Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na

(iv) Picha ndogo tatu za rangi (three coloured passport size photographs)

1

## Majina Ya Waliofaulu Usaili Na Kuchaguliwa Katika Kada

## Mbalimbali Chuo Kikuu Ardhi

## Na. Kada Jina Kamili

1. Tutorial Assistant (QS, Francis Gabriel Kisyungu (M)

Construction Economics

Management)

2. Tutorial Assistant (Architecture) Dorah Michael Mtima (F)

3. Tutorial Assistant (LA) Christina Godwin Hizza (F)

4. Tutorial Assistant (ICT) Barakael Lucas Wawo (M)

5. Tutorial Assistant (ICT) Veronica John Kiteve (F)

6. Tutorial Assistant (Mathematics) Alistachius Muganyizi Alisen (M)

7. Tutorial Assistant (Urban and Petro Chacha Mwita (M)

Regional Planning)

Imetolewa na;

## Makamu Mkuu Wa Chuo,

## Chuo Kikuu Ardhi (Aru)

2

## Official Source

Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published
by Ajira Tanzania.
