# TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/10/21/tangazo-la-kuitwa-kazini-taasisi-mbalimbali-za-umma-5/
- Published: 2026-10-21T15:37:47+00:00
- Author: 

**tangazo la kuitwa kazini taasisi mbalimbali za umma** is an official placements
published by Ajira Tanzania on 21 October 2026.

## Announcement Details

**Announcement type:** Placements

**Official reference:** 71e7c5c4-6bea-4ca4-a628-acb66dc4cc62

## Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma

## Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

## Ofisi Ya Rais

## Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma

Kumb. Na. JA. 9/ 18/01"E"/69 21/10/2026

## Tangazo La Kuitwa Kazini

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji

kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-10-2025 na tarehe 
05-09-2026

kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika

tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa
kwenye

kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada 
ya

nafasi kupatikana

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za

kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye

sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and

Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti
kwa

Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa

na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea
ili

vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao 
hayapo

katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite

kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Page 1 of 3

1 Benki Kuu ya Tanzania(BOT) PORTER III 1 HENRY EDSON MAHUNDI

## Receptionist Iii 1 Lightness Paul Samweli

## 2 Mpasi Kapala Mpamanga

## Security Guard Iii 1 Haruna Ramadhani Haruna

## 2 Havin Frolensi Festo

## 3 Mwansiti Athumani Kanuni

## 4 Prisca Jackson Byose

2 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi AFISA KILIMO DARAJA LA II

## 1 Gabriel Josia Gidion

## (Agricultural Officer Ii)

## Mkadiriaji Ujenzi Daraja La Ii

## 1 Irene Andrew Mnyeke

## (Quantity Surveyor Grade Ii)

## Msaidizi Wa Afya Daraja La I 1 Aisha Yahaya Nkwiri

## (Health Assistant Grade I)

## 2 Fransiska Evernice Haule

## 3 Mwajuma Saidi Mallema

3 Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu MKAGUZI WA NDANI DARAJA II

## 1 Samwel Zacks Mwambazi

## (Internal Auditor Grade Ii)

## Tabibu Daraja La Ii (Clinical 1 Aneth Abraham Ipini

## Officer Grade Ii)

## 2 Gift Moses Mwayaya

## 3 Kulunjui Salaash Laizer

## 4 Mwasi Costa Masuba

## 5 Pascazia Mathias Nidwa

## Tabibu Wa Kinywa Na Meno Daraja

## 1 Shaban Abdallah Banda

## La Ii (Dental Therapist Grade Ii)

4 Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma AFISA TEHAMA II – FANI YA USIMAMIZI

## Wa Mitandao Ya Tehama (Network 1 Elvis Neville Ikunda

## Adiministrator)

## Mkaguzi Wa Ndani Daraja Ii

## 1 Debora Edward Mosha

## (Internal Auditor Grade Ii)

Page 2 of 3

5 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza AFISA TEHAMA II – FANI YA USIMAMIZI

## Wa Mitandao Ya Tehama (Network 1 Datus Masoko Innus

## Adiministrator)

6 Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) MWANDISHI MWENDESHA OFISI 1 NURU IDD MRIMI

## Daraja La Ii (Office Management

## 2 Rosemary Henerico Mtabulao

## Secretary Grade Ii)

## Limetolewa Na;

## Katibu

## Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma

Page 3 of 3

## Official Source

Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published
by Ajira Tanzania.
