# TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/10/28/tangazo-la-kuitwa-kazini-chuo-kikuu-cha-afya-na-sayansi-shirikishi-muhimbili/
- Published: 2026-10-28T13:44:56+00:00
- Author: 

**tangazo la kuitwa kazini chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi muhimbili**
is an official placements published by Ajira Tanzania on 28 October 2026.

## Announcement Details

**Announcement type:** Placements

**Official reference:** f30b1d93-4d91-4446-af2a-c0362587eb8a

## Tangazo La Kuitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili

## Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili

Kumb. Na. CA.405/524/01/18 20/10/2026

## Tangazo La Kuitwa Kazini

Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)

anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24
Septemba,

2026 hadi tarehe 25 Septemba, 2026 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili
huo ni

kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Aidha, Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu za ajira kwa kufika
Chuo

Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tarehe 01 hadi 03 Novemba,

2026 kuanzia saa tatu kamili asubuhi wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo
hili, ili

zihakikiwe kabla ya kupewa barua ya ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika

tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite 
kuomba

kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa. Nyaraka za kuwasilisha 
ni kama

ifuatavyo:

(i) Vyeti halisi (Original Certificates) na nakala mbili za vyeti hivyo zilizothibitishwa
na

Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato
cha

nne na kuendelea;

(ii) Cheti cha kuzaliwa;

(iii) Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na

(iv) Picha ndogo tatu za rangi (three colored passport size photographs)

1

## Kada: Assistant Research Fellow – Pharmaceutical Microbiology

## Mwajiri: Muhimbili University Of Health And Allied Sciences (Muhas)

## Na Jina La Muombaji Anuani Ya Sasa

## .1 Perpetua Jamali Goyayi

P.O. Box 16610, ARUSHA

## Kada: Assistant Lecturer – Behavioural Science

## Mwajiri: Muhimbili University Of Health And Allied Sciences (Muhas)

## Na Jina La Muombaji Anuani Ya Sasa

1 P.O Box 1719, MWANZA

## Nicholaus Kemba Francis

## Kada: Assistant Lecturer (Parasitology And Medical Entomology)

## Mwajiri: Muhimbili University Of Health And Allied Sciences (Muhas)

## Na Jina La Muombaji Anuani Ya Sasa

1 P.O Box 774, IRINGA

## Rahma Ally Rajabu

2 P.O Box 1462, MWANZA

## Jackline Martine Lyimo

## Kada: Assistant Librarian Trainee

## Mwajiri: Muhimbili University Of Health And Allied Sciences (Muhas)

## Na Jina La Muombaji Anuani Ya Sasa

1 P.O Box 307, ZANZIBAR MJINI

## Richard Burchard Magharibi

## Kamugisha

2 P.O Box 20950, DAR ES SALAAM

## Elizabeth Godfrey John

3 P.O Box 19877, DAR ES SALAAM

## Sarah Steven Mwakasungu

Imetolewa na,

## Makamu Mkuu Wa Chuo,

## Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili.

## (Muhas)

2

## Official Source

Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published
by Ajira Tanzania.
