# TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/10/29/tangazo-la-kuitwa-kazini-taasisi-mbalimbali-za-umma-8/
- Published: 2026-10-29T15:09:22+00:00
- Author: 

**tangazo la kuitwa kazini taasisi mbalimbali za umma** is an official placements
published by Ajira Tanzania on 29 October 2026.

## Announcement Details

**Announcement type:** Placements

**Official reference:** 351bcb87-993b-41fd-a7ce-0ec6fa998434

## Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma

## Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

## Ofisi Ya Rais

## Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma

Kumb. Na. JA. 9/ 18/01"E"/73 29/10/2026

## Tangazo La Kuitwa Kazini

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji

kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 19-12-2025 na tarehe 
05-09-2026

kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika

tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa
kwenye

kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada 
ya

nafasi kupatikana

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za

kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye

sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and

Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti
kwa

Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa

na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea
ili

vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao 
hayapo

katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite

kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Page 1 of 2

## Na Mamlaka Ya Ajira Kada Na Majina Ya Walioitwa Kazini

1 Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere cha AFISA KILIMO DARAJA LA II

## 1 Alphonce Deogratius Mlagwa

Kilimo na Teknolojia (MNUAT) (AGRICULTURAL OFFICER II)

## Ict Officer Ii (Database

## 1 Neema Leonard Wilawila

## Administration)

2 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II

## 1 Deogratias Edes Lyatuu

## (Quantity Surveyor Grade Ii)

## Mteknolojia Msaidizi Daraja La Ii – 1 Gabriel Malulu Gwisu

## Maabara (Assistant Health

## 2 Makabi Juma Simba

## Laboratory Technologist Ii)

## Mteknolojia Msaidizi – Dawa

## (Assistant Technologist – 1 Thomas Addo Mapunda

## Pharmacy Ii)

3 Halmashauri ya wilaya ya Urambo AFISA KILIMO DARAJA LA II 1 GODLOVE ERASTO KANUYA

## (Agricultural Officer Ii)

## 2 Theresia Fredrick Mlawa

## Mteknolojia Wa Radiografa

## Daraja Ii – Radiolojia

## 1 Julie Godwin Masimba

## (Radiographytechnologist Ii –

## Radiology)

## Tabibu Daraja La Ii (Clinical 1 Josephina Jastin Mahenge

## Officer Grade Ii)

## 2 Maria Silvery Malago

## Tabibu Wa Kinywa Na Meno Daraja 1 Gloria Eckson Mwandenuka

## La Ii (Dental Therapist Grade Ii)

## 2 Sisela Solomon Nyandura

## Limetolewa Na;

## Katibu

## Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma

Page 2 of 2

## Official Source

Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published
by Ajira Tanzania.
