TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
tangazo la kuitwa kazini taasisi mbalimbali za umma is an official placements published by Ajira Tanzania on 07 November 2026.
Announcement Details
Announcement type: Placements
Official reference: db5ff60d-2ca7-491f-8cc4-26abe7bb20c9
Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ofisi Ya Rais
Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Kumb. Na. JA. 9/18/01"E"/77 07/11/2026
Tangazo La Kuitwa Kazini
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji
kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 13-12-2025 na tarehe 06-10-2026
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za
kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye
sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and
Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Page 1 of 7
1 Halmashauri ya Manispaa ya TABIBU DARAJA LA II Halmashauri ya Manispaa
Bukoba (CLINICAL OFFICER ya Bukoba 1 ELIAS MEITAWAS SANGETI
Grade Ii)
2 Halmashauri ya Manispaa ya MKAGUZI WA NDANI Halmashauri ya Manispaa
Mpanda DARAJA II (INTERNAL ya Mpanda 1 FAITH EPAFRA TEMBA
Auditor Grade Ii)
MTEKNOLOJIA WA Halmashauri ya Manispaa
RADIOGRAFA DARAJA II – ya Mpanda
Radiolojia Ramadhan Mohammed
1
(Radiography Mwanyange
Technologist Ii –
Radiology)
3 Halmashauri ya Manispaa ya AFISA BIASHARA Halmashauri ya Manispaa 1 FRANCO PONTION RWEIKIZA
Songea DARAJA II (TRADE ya Songea
2 Kelvin Edward Brazio
Officer Ii)
AFISA HESABU DARAJA Halmashauri ya Manispaa 1 BLASSIUS HUSSEIN SHELELA
LA II (ACCOUNTS ya Songea
2 David John Tarimo
Officer Ii)
3 Gasto Fredrick Mbiso
4 Kenedy Keneth Temba
AFISA MISITU DARAJA LA Halmashauri ya Manispaa
II (FORESTRY OFFICER ya Songea 1 JAMES MAHEMBO LUFNGA
Grade Ii)
AFISA UKAGUZI WA Halmashauri ya Manispaa
NDANI DARAJA LA II ya Songea
1 Ismail Ally Kasim
(Internal Audit
Officer Grade Ii)
AFISA UNUNUZI DARAJA Halmashauri ya Manispaa 1 MATHIAS MICHAEL MGUTE
LA II (PROCUREMENT ya Songea
2 Rosemary Aidan Katawa
Officer Grade Ii)
Page 2 of 7
AFISA USTAWI WA JAMII Halmashauri ya Manispaa 1 ABELA PIUS BUZA
MSAIDIZI DARAJA LA II ya Songea
(Assistant Social
2 Benadetha Sineda Simon
Welfare Officer
Grade Ii)
MCHUMI DARAJA LA II Halmashauri ya Manispaa 1 JAMIRU MHINA MOHAMED
(ECONOMIST GRADE II) ya Songea
2 Japhet Ndubikile Nago
3 Joshua Samuel Mnzava
MHANDISI UJENZI Halmashauri ya Manispaa
DARAJA LA II (CIVIL ya Songea 1 LAMACK PETER TEMBA
Engineer Grade Ii)
MKADIRIAJI UJENZI Halmashauri ya Manispaa
DARAJA LA II (QUANTITY ya Songea 1 PRUDENT RENATUS NDABEHI
Surveyor Grade Ii)
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari
1 Robert Enock Kway
C (FITTER MECHANICS) Ruvuma Juu
MWALIMU DARAJA LA IIIC Shule ya Sekondari
– SOMO LA Ruvuma Juu
Ubunifu,Ushonaji Na
Teknolojia Ya Mavazi 1 Hosiana Silayo Alfred
(Designing,Sewing
And Cloth
Technology)
TABIBU DARAJA LA II Halmashauri ya Manispaa 1 ISSA RAMADHANI DUMA
(CLINICAL OFFICER ya Songea
2 Musa Hashim Kunongwa
Grade Ii)
3 Samwel Lameck Samwel
4 Halmashauri ya Wilaya ya Chato AFISA HESABU DARAJA Halmashauri ya Wilaya ya
LA II (ACCOUNTS Chato 1 VAILETH HERMAN KAHYOZA
Officer Ii)
Page 3 of 7
AFISA MIFUGO MSAIDIZI Halmashauri ya Wilaya ya
DARAJA LA II Chato
1 Jackline Lemeruja Laizer
(Livestock Field
Officer Grade Ii)
AFISA USHIRIKA DARAJA Halmashauri ya Wilaya ya
LA II (COOPERATIVE Chato 1 AVITHA ATUGONZA GERWINE
Officer Grade Ii)
FUNDI SANIFU DARAJA Halmashauri ya Wilaya ya
LA II UJENZI- (CIVIL Chato 1 JAMES KIRABA KIRUKI
Technician Grade Ii)
MSAIDIZI WA AFYA Halmashauri ya Wilaya ya 1 FESTINA PETRO MGOWOLE
DARAJA LA I (HEALTH Chato
2 Nosim Edward Kivuyo
Assistant Grade Ii)
3 Regina Steven Mwita
4 Rehema Hemedi Kasipi
5 Rhoda Makoye Elias
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Msingi Ipandikilo 1 GISELA RAMADHAN MVUNGI
B – Shule Ya Msingi
Shule ya Msingi Izenga 1 EVA BONUS HONDE
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari 1 MARTINI BAHA MAAMI
C – KIINGEREZA Jikomboe
2 Yohana Njile Machimu
(English)
Shule ya Sekondari 1 FARIJI HUSSEN MWASIPYELELE
Lutandula
2 Sila Luisi Mako
MWALIMU DARAJA LA IIIA Shule ya Msingi Ipandikilo 1 KELVIN ELIAS CHITANDA
(Teacher Grade Iiia)
2 Leonard Paulo Kiponda
Shule ya Msingi Izenga 1 NZUZU DAUDI NZUZU
2 Rashid Kassim Liuka
Shule ya Msingi Mabila 1 AMANI WILSON MAYOMBE
2 Baton Sesili Mwendi
3 James Isack Godfrey
Page 4 of 7
Shule ya Msingi Mwekako 1 BAKARI HASSANI MAKAME
2 Benjamin Athumani Misheto
3 Daniel Hezron Karume
4 Haruna Ramadhani Mtupeni
Shule ya Msingi Mwenge 1 MELIKIOLI PHIDELI MELIKIOLI
2 Misheck Musa Mwambene
3 Zakayo Sadick Chimbirani
Shule ya Msingi 1 DEO JULIUS MASIRORI
Songambele
2 Giles Edes Malinga
3 Nsulwa Nyerere Nsulwa
4 Nyingisa Mhozya Lugoi
5 Samson Julius Pastory
MWALIMU DARAJA LA IIIC Shule ya Sekondari
1 Claudy Busungu Thomas
– KEMIA (CHEMISTRY) Ichwankima
TABIBU DARAJA LA II Halmashauri ya Wilaya ya 1 ALEX MASELE MLAMBALAZI
(CLINICAL OFFICER Chato
2 Arnold Alexander Kikoti
Grade Ii)
3 Ezra Lujeko Kibona
4 Geliga Daniel Msholla
5 Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa AFISA KILIMO MSAIDIZI Halmashauri ya Wilaya ya
DARAJA LA II Kongwa
1 Isdory Robert Masalu
(Agricultural Field
Officer Ii)
6 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele FUNDI SANIFU DARAJA Halmashauri ya Wilaya ya
LA II UJENZI- (CIVIL Mlele 1 EVA HARUNA MALEGESI
Technician Grade Ii)
MKAGUZI WA NDANI Halmashauri ya Wilaya ya 1 BRIGETTE FRANK MSUYA
DARAJA II (INTERNAL Mlele
2 Flaviana Shine Yodosi
Auditor Grade Ii)
Page 5 of 7
7 Halmashauri ya Wilaya ya TABIBU WA KINYWA NA Halmashauri ya Wilaya ya
Mpimbwe MENO DARAJA LA II Mpimbwe
1 Naomi Dotto Paulo
(Dental Therapist
Grade Ii)
8 Halmashauri ya Wilaya ya AFISA MUUGUZI DARAJA Halmashauri ya Wilaya ya 1 DAMARICE JUSTICE MSAGATI
Mpwapwa LA II (NURSING OFFICER Mpwapwa
2 Godian Peter Shirima
Ii)
3 Juma Edward Magidi
TABIBU DARAJA LA II Halmashauri ya Wilaya ya 1 DANIEL GORDON KIBONA
(CLINICAL OFFICER Mpwapwa
2 Debora Alphonce Abel
Grade Ii)
9 Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa FUNDI SANIFU DARAJA Jeshi la Ulinzi la Wananchi 1 FARAJI MSHAMU LUPETO
Tanzania LA II (MECHANICAL wa Tanzania
Farhami Abderehemani
Technician Grade Ii) 2
Twaha
3 Nelson Jacob Chale
4 Salima Salimu Msofe
5 Vaileth Verry Katabaruki
6 Zephania Mauna Makarius
FUNDI SANIFU DARAJA Jeshi la Ulinzi la Wananchi
LA II UJENZI- (CIVIL wa Tanzania 1 NAKIE KASHIMA SULTAN
Technician Grade Ii)
MSAIDIZI WA AFYA Jeshi la Ulinzi la Wananchi 1 AMIEL MEDAS MAHAMILE
DARAJA LA I (HEALTH wa Tanzania
Anastazia Gideon
Assistant Grade I) 2
Mwaifwani
3 Emanueli Woiso Thadei
4 Faraja Joseph Mbele
5 Husna Rashid Ballo
6 Joyce Noeli Chibwana
7 Sarah Barankena Sospeter
Page 6 of 7
8 Yuster Ngalula Mayala
TABIBU WA KINYWA NA Jeshi la Ulinzi la Wananchi 1 DEBORA PETER OLOMI
MENO DARAJA LA II wa Tanzania
2 Delfina Andrea Ladislaus
(Dental Therapist
3 Rashidi Kategile Kisamba
Grade Ii)
4 Sostenes John Sostenes
10 Kampuni ya Magazeti ya Serikali ASSISTANT GRAPHIC Kampuni ya Magazeti ya
1 Winn Joseph Kigoso
(TSN) DESIGNER II Serikali (TSN)
DRIVER GRADE II Kampuni ya Magazeti ya
1 Miraji Selemani Luambano
Serikali (TSN)
Internal Auditor II Kampuni ya Magazeti ya
1 Grace Mugabe Biseko
Serikali (TSN)
JOURNALIST II Kampuni ya Magazeti ya
1 Issaya Cosmas Kilongo
Serikali (TSN)
MKAGUZI WA NDANI Kampuni ya Magazeti ya
DARAJA II (INTERNAL Serikali (TSN) 1 MOSES ISACK MNGULU
Auditor Grade Ii)
11 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera DEREVA DARAJA LA II Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
1 Samson Dishon Magori
(DRIVER GRADE II) Kagera
Limetolewa Na;
Katibu
Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Page 7 of 7
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
About the author
Related posts
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
