TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE
tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya mji wa njombe is an official call for interviews published by Ajira Tanzania on 09 November 2026.
Announcement Details
Announcement type: Call for Interviews
Official reference: 5c5ef1d3-2ddf-4275-ba2b-44f2e83507ce
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Mji Wa Njombe
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa
Halmashauri Ya Mji Wa Njombe
Kumb.Na.Fa.97/228/01/A/25/A 09/11/2026
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa
usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/11/2026 hadi 17/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi
waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-
1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili
utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).
3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,
Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya
utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.
4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.
5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato
cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA
Usaili.
6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili
pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa
na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.
8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka
husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania
wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.
9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira
Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.
10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.
Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email
address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.
11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha
Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.
12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au
kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa
stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.
Ratiba Ya Usaili Alama Za Barabarani
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Mji wa DEREVA DARAJA II 2026-11-16 07:00:00 Usaili wa usomaji wa alama
Njombe (DRIVER II) za barabarani utafanyika
katika Shule ya Njombe
Sekondari katika
Halmashauri ya Mji Njombe.
Ratiba Ya Usaili Vitendo
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Mji wa DEREVA DARAJA II 2026-11-16 08:00:00 Usaili wa Vitendo utafanyika
Njombe (DRIVER II) katika viwanja vya Shule ya
Njombe Sekondari katika
Halmashauri ya Mji Njombe.
Ratiba Ya Usaili Mahojiano
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Mji wa DEREVA DARAJA II 2026-11-17 07:00:00 Usaili wa Mahojiano ya ana
Njombe (DRIVER II) kwa ana utafanyika katika
Shule ya Njombe Sekondari
katika Halmashauri ya Mji
Njombe.
1
Mwajiri: Halmashauri Ya Mji Wa Njombe
Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Alama Za Barabarani: 2026-11-16 07:00:00
MAHALI: Usaili wa usomaji wa alama za barabarani utafanyika katika Shule ya Njombe
Sekondari katika Halmashauri ya Mji Njombe.
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 08:00:00
MAHALI: Usaili wa Vitendo utafanyika katika viwanja vya Shule ya Njombe Sekondari katika
Halmashauri ya Mji Njombe.
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00
MAHALI: Usaili wa Mahojiano ya ana kwa ana utafanyika katika Shule ya Njombe Sekondari
katika Halmashauri ya Mji Njombe.
Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani
. .
1 MOSES ERASTO P.O Box 3833, DAR 2 AMOSI BETUELI P.O Box 718673676,
Mwajombe Es Salaam Maphie Dar Es Salaam
3 PETER JOHN LUOGA P.O Box 87, 4 AZARIA MAREMBO P.O Box 1414,
Songea, Ruvuma WAARUNYA MARA
5 ASTERICHO MATHIAS P.O Box 92, 6 BARAKA RAMADHAN P.O Box 137, Kilolo,
LUGOLA MTWARA MURSALI Iringa
7 CHESCO JOSEPH FUTE P.O Box 641, 8 RODGERS SIMON P.O Box 533,
Tanga Kaleke Mtwara
9 BAKARI SHABANI P.O Box 60, 10 BARAKA MATIKU P.O Box 1333,
Ntongeka Singida Ambroce Mwanza
11 MPYURA SHABAN P.O Box 1249, 12 DAMIANI MAHAMUDU P.O Box 14,
Kamchacho Dodoma Ismaily Ruvuma
13 AYOUB MAXMILIAN P.O Box 33103, 14 ELIA BEATUSY P.O Box 108,
Kapama Mwanza Mkeng'E Iringa
15 MANDENDA MIKIDADI P.O Box 2209, 16 SIMON JULIUS MTITU P.O Box 435,
Rwambo Mbeya Njombe
17 JOHN GEORGE SOMBA P.O Box 123, 18 JANUARY RUVUNAGU P.O Box 72, Kasulu,
SONGWE MUDUGO Kigoma
19 ABBAS ABDALLAH P.O Box 735, 20 MATHIAS MAURUS P.O Box 46343,
ABBAS Ilemela, Mwanza MPUNGA DAR ES SALAAM
21 RAJABU HASSANI P.O Box 743, 22 DUSTAN JOHN P.O Box 3007,
ABDALLAH Dodoma, Dodoma MCHOME ARUSHA
23 FADHILI ANDENDEKISY P.O Box 149, 24 HUMPHREY ZUMBA P.O Box 7780,
E Kayombo Mbeya Wilfred Kilimanjaro
25 ERICK MSAFIRI P.O Box 1, MTWARA 26 BASHIRU SAIDI MPOJO P.O Box 447,
Mohamedi Mtwara
27 GEORGE AGGREY Dar es Salaam 28 AHMEDI SEIF HANGA P.O Box 16541,
KOMBA Ubungo, Dar es
Salaam
29 FADHILI ALEX MBUGI P.O Box 1234, 30 FARID RAMADHAN P.O Box 131,
Iringa Lyuu Iringa
31 AHAMADI ATHUMAN P.O Box 51, 32 CHARLES SHIRIKISHO P.O Box 0, DAR ES
KAISI Ruangwa, Lindi SIMKWAYI SALAAM
33 YUSUPH OMARY P.O Box 2515, 34 KASIAN JULIUS MVULA P.O Box 54,
Kariati Dodoma Ruvuma
2
Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani
. .
35 FELISTA FRANCIS NJAU P.O Box 2, 36 HASSAN SHAFII P.O Box 945,
SONGWE MBEYELA Njombe, Njombe
37 THOMAS GALUS MHAJI P.O Box 1249, 38 ALEX PHILIPO YUDA P.O Box 26,
Dodoma Dodoma
39 LUCAS SAMWEL P.O Box 92, 40 YAHAYA CHANDE P.O Box 1070, LINDI
Muhinda Tabora Lyamungu
41 FADHILI JOHN KOMBA P.O Box 14, 42 ERICK AUGUSTINO P.O Box 20950,
Ruvuma Mkomola Dar Es Salaam
43 DANIEL JUMA MBOGONI P.O Box 1249, 44 EMMANUEL ENOCK P.O Box 38, PWANI
Dodoma Yungayunga
45 AGATHON JOSEPH P.O Box 149, 46 HASSAN RAMADHAN P.O Box 31902,
Ndimbo Mbeya Msangi Dar Es Salaam
47 AMIRY LEMSI CHELESI P.O Box 223, 48 MADUA SAID MKINDE P.O Box 28, PWANI
Mufindi, Iringa
49 BAKARI KOMBO BAKARI P.O Box 71026, 50 ALLEN GERALD P.O Box 2516,
DAR ES SALAAM MPELEMBWA Mbeya, Mbeya
51 CHESCO EDWARD P.O Box 81, 52 NESTORY NESTORY P.O Box 162, Iringa ,
MDEMU Njombe, Njombe NDAUKA Iringa
53 EDWIN VENANCE P.O Box 2238, 54 BENITHO VISENT P.O Box 19,
Mtulo Morogoro Msigwa Njombe
55 SAID KASSIM P.O Box 204, Mbozi, 56 ROMANUS PHILIPO P.O Box 49,
MONGOMONGO Songwe MLELWA Dodoma, Dodoma
57 ABDALLAH IDDI P.O Box 631, 58 JAMSON ANDALASON P.O Box 36, MBEYA
Gereson Singida Mtafya
59 ELIAS CHACHA JUMA P.O Box 319, 60 OMARI MOHAMEDI P.O Box 92,
Butiama, Mara NAMPENEKELA MTWARA
61 ENOSH JANUARY P.O Box 50, 62 STANLEY ELIAS P.O Box 287,
Kilumika Morogoro Nyenza Iringa
63 WATSON NKUNDWE P.O Box 1018, DAR 64 ERICK BRAISON KILASI P.O Box 577,
Mwaikambo Es Salaam Njombe
65 MDANDI PHILIPO P.O Box 1, GEITA 66 AHMAD ABDALLAH SAID P.O Box 45,
Mussa Ruvuma
67 SAMWEL DANIEL P.O Box 112, MARA 68 HUSSEIN YAHAYA P.O Box 778, Iringa ,
SIBORA MHENGA Iringa
69 ALFREDY BERNADY P.O Box 03, 70 ADRIANO THOMAS P.O Box 145,
MAYOMBYA Tandahimba, Mtwara HAULE IRINGA
71 STEPHANO JULIUS P.O Box 3,
Nzunda Songwe
Limetolewa Na;
Mkurugenzi Wa Mji
Halmashauri Ya Mji Wa Njombe
3
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
