TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO
tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya urambo is an official call for interviews published by Ajira Tanzania on 09 November 2026.
Announcement Details
Announcement type: Call for Interviews
Official reference: e09ac352-3b69-471f-b20e-748541eb568b
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Urambo
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa
Halmashauri Ya Wilaya Ya Urambo
Kumb. Na. UDC/W.I/254/VOL.I/133" 07/11/2026
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Urambo anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa
usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/11/2026 hadi 17/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi
waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-
1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili
utafanyika umeainishwa kwa kila Kada
2. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,
Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya
utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.
3. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.
4. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato
cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA
Usaili.
5. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili
pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
6. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa
na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.
7. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka
husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania
wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.
8. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira
Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.
9. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.
Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email
address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.
10. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha
Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.
11. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au
kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa
stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.
Ratiba Ya Usaili Vitendo
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 07:00:00 UKUMBI MDOGO WA
Urambo (DRIVER II) MIKUTANO WA
Halmashauri Ya Wilaya
Ya Urambo
Halmashauri ya wilaya ya MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-16 07:00:00 UKUMBI MDOGO WA
Urambo OFISI DARAJA LA II MIKUTANO WA
(Office Management Halmashauri Ya Wilaya
Secretary Grade Ii) Urambo
Ratiba Ya Usaili Alama Za Barabarani
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 10:00:00 UKUMBI MDOGO WA
Urambo (DRIVER II) MIKUTANO WA
Halmashauri Ya Wilaya
Ya Urambo
Ratiba Ya Usaili Mahojiano
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-17 07:00:00 UKUMBI MDOGO WA
Urambo (DRIVER II) MIKUTANO WA
Halmashauri Ya Wilaya
Ya Urambo
Halmashauri ya wilaya ya MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-17 07:00:00 UKUMBI MDOGO WA
Urambo OFISI DARAJA LA II MIKUTANO WA
(Office Management Halmashauri Ya Wilaya
Secretary Grade Ii) Ya Urambo
1
Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Urambo
Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 07:00:00
Mahali: Ukumbi Mdogo Wa Mikutano Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Urambo
Tarehe Ya Usaili Wa Alama Za Barabarani: 2026-11-16 10:00:00
Mahali: Ukumbi Mdogo Wa Mikutano Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Urambo
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00
Mahali: Ukumbi Mdogo Wa Mikutano Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Urambo
. .
1 RAYMOND JULIUS P.O Box 72, TANGA 2 MISHITA BARAKA P.O Box 1249,
Kijangwa Mishita Dodoma
3 GEORGE CHARLES P.O Box 170, 4 THOMAS DARUSHI P.O Box 19,
Kaiza Tabora Masunga Tabora
5 LEONARD GEORGE P.O Box 1249, 6 JOSEPH DEOGRATIUS P.O Box 20950,
MAYEMBUKA DODOMA KASALA Ilala, Dar es Salaam
7 JESCA JOHN KILEO P.O Box 318, 8 ALLY KHATIBU MFAUME P.O Box 15113,
Kilimanjaro Dar Es Salaam
9 STEVEN NASSON P.O Box 4444, 10 ALIBINIUS MUCHUNGUZ P.O Box 1413,
Daniel Dodoma I Gorodian Tabora
11 LUCA PETER SHIRIMA P.O Box 74, DAR 12 LONGINUSS ODDO P.O Box 7, NJOMBE
Es Salaam Ngundala
13 FARIDU SEFU P.O Box 2623, 14 BARIKI RUBENI YAREDI P.O Box 1249,
Kinanguka Arusha Dodoma
15 SALIM MSOPA P.O Box 15157, 16 FREDRICK ADELGOT P.O Box 45418,
MIKIDADI HATIBU Kinondoni, Dar es NGONYANI DAR ES SALAAM
Salaam
17 IDRISA ISIHAKA P.O Box 45691, 18 BARAKA BENARD P.O Box 46334,
MWINYIMKUU Temeke, Dar es PELEGIRNOH Temeke, Dar es
Salaam Salaam
19 JANUARY RUVUNAGU P.O Box 72, Kasulu, 20 DICKSON ELIA KILONZO P.O Box 232, MARA
MUDUGO Kigoma
21 HIMID SAID KAMBONA P.O Box 256, 22 FATIUS FULGENCE P.O Box 307,
Nzega, Tabora ALOYCE Nyamagana,
Mwanza
23 BILALI SAIDI MBOREHA P.O Box 385, 24 JUMA HAMIDU P.O Box 1474, DAR
Lushoto, Tanga MOHAMED ES SALAAM
25 SHUKURU RASHIDI P.O Box 65, PWANI 26 AJILI AJILI SONEJE P.O Box 65,
Ngwambi Morogoro
27 HIJA HASSAN IROKO P.O Box 311, 28 BIGAMBO PETER MTAKI P.O Box 15101,
Morogoro Dar Es Salaam
29 GABRIEL WILLIAM P.O Box 1826, 30 RICHARD RUBEN P.O Box 19,
Sanga Morogoro Darushi Tabora
31 MOHAMEDI ATHUMANI P.O Box 2070, 32 JASTINI JEREMIA P.O Box 44,
HEMEDI Tanga, Tanga NICORAUSI KIGOMA
33 FELIX STEPHEN P.O Box 146, 34 KAZANA LUKASI P.O Box 46343,
KIMILIKE IRINGA KITENGULE Temeke, Dar es
Salaam
2
. .
35 FRANSISCO CHARLES P.O Box 225, 36 ALFRED EZEKIEL P.O Box 45232,
LUKONA Bunda, Mara ZEPHANIA Temeke, Dar es
Salaam
37 ERICK JOSEPH MOLLEL P.O Box 580, 38 ABTWALIB ALLY P.O Box 1999,
Arusha Mwarabu Kilimanjaro
39 JOSEPH EUPHRAHIM P.O Box 0, DAR ES 40 JACKSON EXVERY P.O Box 71,
Uhinga Salaam Nchimbi Ruvuma
41 PROSPER PASCAL P.O Box 390, 42 PASCHAL JOSEPH P.O Box 221,
ASSENGA Tabora, Tabora VICENT TABORA
43 THEODOSIUS 44 MUSSA AMIRI MUSSA P.O Box 35, TANGA
Deusdedit Mkwawe
45 YAHAYA MWINYIALLY P.O Box 1249, 46 YAHAYA MLINDWA P.O Box 8812, Ilala,
YAHAYA DODOMA ABIBU Dar es Salaam
47 STANLEY NESTORY P.O Box 992, 48 YUSUPH ISMAIL P.O Box 0,
Mujunangoma Morogoro Hassan Dodoma
49 ANTHONY SIMON 50 CHRIS SILVIN MAJENGA P.O Box 52,
Nyakubusa Kilimanjaro
51 DICKSON ISSACK P.O Box 126, MARA 52 MAGAFU LAZARO P.O Box 175,
Michael Sungura Mwanza
53 KASHINDI GASTO P.O Box 44, 54 RAMADHANI SHOMARI P.O Box 0, DAR ES
AMANI Kigoma, Kigoma KIBWANA SALAAM
55 VICTOR PHARES P.O Box 771, 56 CALVIN ATHANAS P.O Box 6369,
Ntahondi Kigoma Nibengo Mwanza
57 HAMZA MOHAMED P.O Box 22, 58 JOHN JULIUS ISAKA P.O Box 1629,
Litwiro Morogoro Dodoma
59 ABUBAKAR YUSUF P.O Box 5837, DAR 60 EMMANUEL DAUDI P.O Box 1672,
Othman Es Salaam Masanja Dodoma
61 SALIM MLELA MASATO P.O Box 55068, 62 SHANI LAMECK OYIERY P.O Box 45, MARA
Dar Es Salaam
63 DANIELY HUMPHERY P.O Box 517, 64 TUMAINI STEVEN P.O Box 511,
Malisa Dodoma Ndanu Arusha
65 BARAKA TRECEPHORY P.O Box 162, 66 JEREMIA SAMWEL P.O Box 1249,
Ngole Iringa Chidyaka Dodoma
67 YUSUPH BATWEL P.O Box 149, 68 JUNIOR BRUNO P.O Box 73, MBEYA
Mligo Mbeya Mwaijande
69 REVOCATUS KAMUGIS Dar es Salaam 70 MARTIN SAIKO P.O Box 49,
Ha Evodius Simwasita Dodoma
71 ERICK PAULO P.O Box 743, 72 JACKSON GEORGE P.O Box 618,
KINEMELO Arusha, Arusha CHITILA TABORA
73 JERRY SURERA P.O Box 85, 74 EMMANUEL JOSEPH P.O Box 187,
Alphonce Shinyanga Sadala Rukwa
75 FILBERT MAURUS P.O Box 61200, 76 STEPHENE MHANDO P.O Box 31902,
Msanga Dar Es Salaam Mandia Dar Es Salaam
77 YOHANA PASCHAL P.O Box 11129, 78 MICHAEL AGREY P.O Box 735,
Joseph Mwanza Kanyenye Mwanza
79 NEEMA DANIEL P.O Box 30112, 80 ABUBAKARI MOHAMEDI P.O Box 166,
Magambo Pwani Kunga Morogoro
3
. .
81 TARIMA SUSA TARIMA P.O Box 236, 82 MZEE ADINURI MZEE P.O Box 287,
Arusha Dodoma
83 AMIRI NYAMBI P.O Box 149, 84 REVOCATUS BONIPHAC P.O Box 735,
KIYUMBILI MBEYA E MASINDE Ilemela, Mwanza
85 DANIEL GEOFREY P.O Box 139, 86 FRANK DAMIAN P.O Box 39, Newala,
DENIS DODOMA CHOLLA Mtwara
87 LAWRENCE DOTTO P.O Box 72276, 88 ZAKAYO ERNESTI P.O Box 216,
SAMWEL DAR ES SALAAM BUKURU Mpanda, Katavi
89 WILLIAM ALFRED P.O Box 135, 90 HAMZA SHAIBU P.O Box 14,
MSOFE Mbinga, Ruvuma MBAWALA Songea, Ruvuma
91 STEPHEN KAHEMA P.O Box 1928, 92 VECORANDA DEONATU P.O Box 7501, DAR
Mashenene Dodoma S Mafuru Es Salaam
93 ALLY KIMWELI P.O Box 347, 94 BARAKA MUSA P.O Box 44, SIMIYU
Athumani Dodoma Hoyanga
95 MOSES SEIF KILINDO P.O Box 35092, 96 HUSSEIN SALEHE P.O Box 617400490,
Pwani Katambo Dar Es Salaam
97 LUCAS ALBERT Arusha 98 ABDALLAH MUSSA P.O Box 2228,
Cosmas Salimini Dodoma
99 ARAFAT SALUM P.O Box 84, 100 ENOS HENRY P.O Box 1333,
NASSORO TABORA LUSHONISHA Nyamagana,
Mwanza
101 PETER DICKSON P.O Box 77113, 102 SHEDRACK PHILIPO P.O Box 292, DAR
Ngorongo Dar Es Salaam Hyera Es Salaam
103 MRISHO SELEMANI P.O Box 174, 104 ATHUMANI BILALI P.O Box 1,
DULE Tabora, Tabora KIDANDO MOROGORO
105 EDWIN BUKOMBE P.O Box 43, 106 MARKO KATELE P.O Box 20950,
BAHATI Kibondo, Kigoma MUHUMBA DAR ES SALAAM
107 ALLY KHAMIS ALLY P.O Box 1333, 108 KELVIN ALEX KALEMBA P.O Box 30112,
Nyamagana, Kibaha, Pwani
Mwanza
109 ABDULMALICK P.O Box 284, GEITA 110 PHIDELICE PHILIP P.O Box 84,
Ramadhan Hussein Sulle Arusha
111 JOSEPH PATRICK P.O Box 98, 112 ABDALLAH RASHID P.O Box 433,
Nono Manyara Mateo Morogoro
113 CHARLES PIUS PAUL P.O Box 33, 114 ALLY ISSA GINGI P.O Box 757,
Tabora Arusha
115 IDDI HEMED RASHID P.O Box 174, 116 DANIEL THOBIAS P.O Box 203,
TABORA MAGANGA Rungwe, Mbeya
117 MBWANA ATHUMANI P.O Box 3054, 118 JOHN SIMON MAGANGA P.O Box 274,
Mbwana Kilimanjaro Shinyanga
119 KHALIDI SHABANI P.O Box 4912, 120 MAULID HAMAD BANKA P.O Box 18,
MTORI Dodoma, Dodoma TABORA
121 NICHOLAUS DAMAS P.O Box 44, 122 BAKARI MASUDI P.O Box 377,
KATOLE KIGOMA NAMEMBE Newala, Mtwara
123 ANNACATHERINE P.O Box 1968, DAR 124 MICHAEL JOHANES P.O Box 4347, Ilala,
STAMFORD HICKA ES SALAAM BALIYANGA Dar es Salaam
125 ELIAS PAULO NINGA P.O Box 776, 126 KHALFAN OMARY P.O Box 63,
Dodoma Khalfan Kigoma
4
. .
127 AIVAN JULIUS MAGAFU P.O Box 156, 128 AYONGELE ARKIPO P.O Box 31902,
Singida Ikwataki Dar Es Salaam
129 FAUSTINE CHARLES P.O Box 63, Masasi, 130 THEONEST SHILING P.O Box 149,
BAHA Mtwara GREGORY Mbeya, Mbeya
131 HUSSEIN ALLY P.O Box 0, PWANI 132 JAMAL SELEMAN P.O Box 10,
Athumani Dahaa Manyara
133 KARIMU HAMISI P.O Box 03, 134 ABDALLAH ATHUMANI P.O Box 453,
TARATIBU Tandahimba, Mtwara KAGYA Karagwe, Kagera
135 FODI SADOKI NSWILA P.O Box 8906, DAR 136 JAPHET PAULO P.O Box 65, DAR
Es Salaam Chengula Es Salaam
137 WALII AMIRI MSUYA P.O Box 2448, 138 GABRIEL AMOSI P.O Box 10,
Ubungo, Dar es MBWANA MOROGORO
Salaam
139 KHALPHAN YOUSUPH P.O Box 216, 140 ASHERY SIMON P.O Box 62, Ngara,
SALUM KATAVI MAYENJE Kagera
141 ABDALAH AMINI P.O Box 7058, DAR 142 FADHIL BONIFACE P.O Box 98,
Masongela Es Salaam Zakayo Morogoro
143 PASCHAL FRANCIS P.O Box 49, 144 AGUSTINO HAGAI P.O Box 1574,
SHIJA Dodoma, Dodoma SOWA Moshi, Kilimanjaro
145 SITTA JILONDERA P.O Box 1988, 146 MICHAEL ALEXANDER P.O Box 1333,
PHINIAS Bariadi, Simiyu MASHAURI MWANZA
147 BUNDALA HAMZA SAIDI P.O Box 27, 148 MAKAMBI GELARD P.O Box 519,
Kilimanjaro Kasogota Kigoma
149 STEPHEN CHARLES P.O Box 10000, 150 CHRISGONAS JOHN P.O Box 1068,
MAGINA ARUSHA MSASA Arusha, Arusha
151 MUSHOMARI SHEHA P.O Box 2958, DAR 152 AMBWENE EDSON P.O Box 107,
Gogo Es Salaam Mwansasu Ruvuma
153 FRANK MUSHUMBUSI P.O Box 50, 154 CHESCO FRANK P.O Box 92,
Kazoba Kagera Chengula Mtwara
155 IDDI MUSTAFA P.O Box 31211, 156 KASELE YASSINI P.O Box 174,
RAMADHANI DAR ES SALAAM RAMADHANI Tabora, Tabora
157 JOSEPH NDALILE P.O Box 891, 158 DEOGRASIAS OSWARD P.O Box 4,
Chambalo Dodoma Mpanda Dodoma
159 DAMIAN JACKOBO P.O Box 705, 160 ERNEST GERALD P.O Box 26,
MABINA Ubungo, Dar es FRANK SHINYANGA
Salaam
161 MASSI TASANI MSUYA P.O Box 315, Same, 162 YOHANA MHOJA P.O Box 472,
Kilimanjaro KAZILO Kahama, Shinyanga
163 EDWARD CHACHA P.O Box 196,
CHACHA Serengeti, Mara
5
Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Urambo
Kada: Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja La Ii (Office Management
Secretary Grade Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 07:00:00
Mahali: Ukumbi Mdogo Wa Mikutano Wa Halmashauri Ya Wilaya Urambo
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00
Mahali: Ukumbi Mdogo Wa Mikutano Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Urambo
. .
1 HAMIDA SELEMANI P.O Box 162, 2 CHAUSIKU JUMA P.O Box 174,
Nyomolelo Iringa Nicodem Tabora
3 JOHA HASSAN HAMISI P.O Box 214, 4 ROJAT FRANCIS MAJJA P.O Box 412, GEITA
Dodoma
5 AGNESS JOSEPH P.O Box 229, 6 NEEMA MANYABULUBA P.O Box 175,
Mgala Rukwa Christopher Mwanza
7 NEEMA RICHARD P.O Box 178, 8 SUZANA THOMAS P.O Box 1461, DAR
Changarawe Tanga Mahenda Es Salaam
9 SIFAEL ROJAS P.O Box 660, 10 FLORIANA AMONI P.O Box 22,
Silwimba Songwe Mtipuliri Morogoro
11 RAHELI PETER P.O Box 20, TANGA 12 NEEMA RAMADHANI P.O Box 55068,
Shekigenda Sadiki Dar Es Salaam
13 PETER WANG'ENG'I P.O Box 176, MARA 14 CATHERINE KABULA P.O Box 92, DAR
Mwikwabe Bundala Es Salaam
15 MAUREEN MASHAURI P.O Box 40060, 16 JENIFA KIUREI P.O Box 15046,
Masala Dar Es Salaam Meshekini Arusha
17 MWAJUMA SHAFII P.O Box 92, 18 ZAINABU ABU KILAGWA P.O Box 562,
Rashidi Mtwara Mbeya
19 EDINA ORESTO P.O Box 13408, 20 KATHERIN AGREY P.O Box 92,
Mwenzegule Dar Es Salaam Mgimba Mtwara
21 WINIFRIDA RAFAELY P.O Box 170, 22 LOVENES BUCHUMI P.O Box 174,
Masanja Tabora Nyantabo Tabora
23 MELIDA HAWADI P.O Box 30112, 24 NEZIA SABATHO P.O Box 175,
Tanganyika Pwani Magesa Mwanza
25 REHEMA SIMON DAUDI P.O Box 174, 26 RABIA HAMISI P.O Box 1070, LINDI
Tabora Abdallah
27 MAYASA MOSES P.O Box 149, 28 ESTA JOSEPH P.O Box 61208,
Mwasubila Mbeya Jackson Pwani
29 MAEMBA MGANGA P.O Box 321, MARA 30 AKWINATHA ALOIS P.O Box 26,
Chiuni Komba Tabora
31 ADVELLA ZACHARIA P.O Box 20, 32 ZENA HAMIS P.O Box 0, DAR ES
Joachim Mwanza Hanzuruni Salaam
33 DEVOTHA DEUS Tabora 34 ZENIA WILLIAM P.O Box 97, DAR
Kirundus Kiharanya Es Salaam
35 CHRISTINA WILSON P.O Box 1333, 36 ZUBEDA ATHUMAN P.O Box 174,
Raphael Mwanza Aman Tabora
37 ELIDA WILLIAM P.O Box 1249, 38 AGNES PETRO P.O Box 70,
Saideya Dodoma Mangilaine Kagera
6
. .
39 ZAINABU SHUKURU P.O Box 329, 40 MARIAMU SAIDI P.O Box 149,
Hussein Tabora Ngereza Mbeya
41 SWAIBA YAHYA P.O Box 92, 42 DORICE ALFRED P.O Box 149,
Mayunda Mtwara Mwaijele Mbeya
43 LILIAN MALASHI MTAKI P.O Box 1333, 44 NEEMA NIKODEM P.O Box 1249,
Mwanza Tindo Dodoma
45 MONICA WILLIAM P.O Box 352, GEITA 46 GRECIOUS PASTORY P.O Box 329,
Sumuni Chambala Tabora
47 AVIA LAURENT P.O Box 300, 48 PATRICIA KOKUBUGANI P.O Box 202,
Laurian Tabora Za Cleophace Mwanza
49 JENIPHER MGENDI P.O Box 2, MARA 50 QUEEN ELIBARIKI P.O Box 7229,
Mgendi Sarakikya Arusha
51 TREZIA BENDA P.O Box 196, 52 ELENZIAN MATIAS P.O Box 118,
Mvukiye Kigoma Mapunda Ruvuma
53 STEPHANO FRED P.O Box 174, 54 TABITHA WILLIAM P.O Box 174,
Sylivery Tabora Mlanji Tabora
55 JACKLINE SHABANI P.O Box 126, MARA 56 SALU ZEPHANIA P.O Box 735,
Mafuru Matondo Mwanza
57 CHRISTINA ALEX P.O Box 155, 58 EDISONI DISMAS P.O Box 149,
Sanga Njombe Mmbughu Mbeya
59 NOVATH MWIJARUBI P.O Box 1207, 60 JACKLINE YOHANA P.O Box 57,
Elijason Mbeya Malogo Dodoma
61 REVINA KOKUGONZA P.O Box 174, 62 CHRISTINA KYOMO P.O Box 2385,
ROBERT Tabora, Tabora ANYELWISYE MBEYA
Limetolewa Na;
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri Ya Wilaya Ya Urambo
7
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
