TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU
tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya ushetu is an official call for interviews published by Ajira Tanzania on 09 November 2026.
Announcement Details
Announcement type: Call for Interviews
Official reference: 0be6f57a-d5df-4242-957e-1a40ed4d5025
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Ushetu
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa
Halmashauri Ya Wilaya Ya Ushetu
Kumb.Na.FA.97/228/01/A/26/01 07/11/2026
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa
usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/11/2026 hadi 17/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi
waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-
1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili
utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).
3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,
Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya
utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.
4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.
5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato
cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA
Usaili.
6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili
pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa
na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.
8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka
husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania
wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.
9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira
Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.
10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.
Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email
address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.
11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha
Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.
12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au
kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa
stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.
Ratiba Ya Usaili Vitendo
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 07:00:00 Usaili wa Vitendo utafanyika
Ushetu (DRIVER II) kwenye uwanja wa Shule ya
Sekondari Nyamilangano
Amali iliyopo katika Kata ya
Nyamilangano
Halmashauri ya Wilaya ya MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-16 07:00:00 Usaili wa Vitendo utafanyika
Ushetu OFISI DARAJA LA II kwenye ukumbi wa Shule ya
(OFFICE MANAGEMENT Sekondari Nyamilangano
SECRETARY GRADE II) Amali iliyopo katika Kata ya
Nyamilangano
Ratiba Ya Usaili Mahojiano
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-17 07:00:00 Usaili wa Mahojiano
Ushetu (DRIVER II) utafanyika katika ukumbi wa
Hospitali ya Wilaya iliyopo
Kata ya Nyamilangano
Halmashauri ya Wilaya ya MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-17 07:00:00 Usaili wa Mahojiano
Ushetu OFISI DARAJA LA II utafanyika katika ukumbi wa
(OFFICE MANAGEMENT Hospitali ya Wilaya iliyopo
SECRETARY GRADE II) Kata ya Nyamilangano
1
Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Ushetu
Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 07:00:00
MAHALI: Usaili wa Vitendo utafanyika kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Nyamilangano
Amali iliyopo katika Kata ya Nyamilangano
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00
MAHALI: Usaili wa Mahojiano utafanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Wilaya iliyopo Kata ya
Nyamilangano
Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani
. .
1 FADHILI IBRAHIM P.O Box 104, 2 JOSEPH NYANDA P.O Box 174,
MARANYA Urambo, Tabora GERALD Tabora, Tabora
3 HASSANI HAMIS P.O Box 1333, 4 BARNABAS MOMBOJA P.O Box 11270,
MWEMISI Nyamagana, WANA Kinondoni, Dar es
Mwanza Salaam
5 STANLEY STAFFORD P.O Box 34, 6 ASTERICHO MATHIAS P.O Box 92,
Rwakatale Tabora Lugola Mtwara
7 MDANDI PHILIPO P.O Box 1, GEITA 8 JACKSON GEORGE P.O Box 618,
Mussa Chitila Tabora
9 PETER DEOGRATIAS P.O Box 9024, DAR 10 JOVINE JUMA P.O Box 19189,
MABADA ES SALAAM NGONYANI Temeke, Dar es
Salaam
11 NEHEMIAH SHIJA P.O Box 735, 12 ELIAH DOMINICK P.O Box 10542,
Kadala Mwanza Vedastus Mwanza
13 ISMAIL ABDUL NASIBU P.O Box 376, 14 OREDI TADEI MHANGA P.O Box 2324,
Kinondoni, Dar es IRINGA
Salaam
15 DONARD MASUKE P.O Box 1333, 16 MULOKOZI JOHN PAUL P.O Box 28,
LIMBU Nyamagana, Shinyanga, Shinyang
Mwanza a
17 MICHAEL JOHANES P.O Box 4347, Ilala, 18 RADIUS COSTATINE P.O Box 65474,
BALIYANGA Dar es Salaam MGAMBWA DAR ES SALAAM
19 SALIM MAHMOUD P.O Box 20, 20 GASPARY MORRICE P.O Box 462,
JUMANNE Misungwi, Mwanza GAITANI ARUSHA
21 HAROLD WILSON MTUI P.O Box 254, 22 KISENA SAMSON P.O Box 807,
Songea, Ruvuma SENGA MWANZA
23 JOFREY PAUL P.O Box 1, ARUSHA 24 EMMANUEL ERNEZA P.O Box 4706, DAR
Nkungulu Madeghe Es Salaam
25 SABRI ISSA SHABANI P.O Box 75163, 26 KAZIMIL PETRO ELIAS P.O Box 88,
Dar Es Salaam Mwanza
27 JEREMIAH PETER P.O Box 88, 28 PAUL HAMISI SIST P.O Box 3,
KATAN Kwimba, Mwanza Tunduma, Mbeya
29 MACMILLAN GASPER P.O Box 411, 30 MORICE SADICK P.O Box 443,
Msimbe Morogoro Nanda Kigoma
31 ATHUMAN MADARAKA P.O Box 472, 32 AZARIA MAREMBO P.O Box 1414,
Mabuga Shinyanga Waarunya Mara
33 KELVIN FANUEL P.O Box 743, DAR 34 HAMIS TWAHA HAMIS P.O Box 1999,
KIPESHA ES SALAAM Moshi, Kilimanjaro
2
Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani
. .
35 EMANUEL EPHRAIM P.O Box 743, 36 RAJABU HASSANI P.O Box 743,
MBENA Dodoma, Dodoma ABDALLAH Dodoma, Dodoma
37 GODFREY THOBIAS P.O Box 526, 38 JOELY ESSAU MZAVA P.O Box 45375,
KAGANDA Bariadi, Simiyu Temeke, Dar es
Salaam
39 EMMANUEL JABIL OBED P.O Box 1333, , 40 SABATO ELIEZER P.O Box 43,
Mwanza MUGANDA Kibondo, Kigoma
41 JOSEPH SELYA P.O Box 44, SIMIYU 42 SAMWEL CASMIRY P.O Box 1923,
PASCHAL KAHINDI Dodoma, Dodoma
43 SAID HILAL KHASIMU P.O Box 73, 44 MUSSA CLEMENT P.O Box 140,
Tabora Mgalula Tabora
45 FITINA ZANZIBAR P.O Box 44, 46 DIANA JOHN MATHIAS P.O Box 20,
NYAMLALA MWANZA Misungwi, Mwanza
47 AJILI AJILI SONEJE P.O Box 65, 48 GODFREY CHARLES P.O Box 28,
MOROGORO GAMBASENI Shinyanga, Shinyang
a
49 BARAKA MUSA P.O Box 44, SIMIYU 50 HOSEA DANIEL P.O Box 44, SIMIYU
Hoyanga Hoyanga
51 SULEIM SINAN SAID P.O Box 139, GEITA 52 PHILIPO MABULA JOHN P.O Box 1333,
Mwanza
53 ERNEST HAMISI P.O Box 31902, 54 IDDI MUSTAFA P.O Box 31211,
Mwendwa Dar Es Salaam Ramadhani Dar Es Salaam
55 FABIANI KAMALI P.O Box 55,
CHRISPINE Ukerewe, Mwanza
3
Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Ushetu
Kada: Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja La Ii (Office Management
Secretary Grade Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 07:00:00
MAHALI: Usaili wa Vitendo utafanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyamilangano
Amali iliyopo katika Kata ya Nyamilangano
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00
MAHALI: Usaili wa Mahojiano utafanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Wilaya iliyopo Kata ya
Nyamilangano
Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani
. .
1 WELIMA PETER P.O Box 472, 2 JESCA MWANDU P.O Box 174,
Masatu Shinyanga Luhaga Tabora
3 ANTONIA GODFREY P.O Box 252, 4 MALIMA MUSIBA P.O Box 149,
RUTUMBANYA Bariadi, Simiyu MALIMA MBEYA
5 SOPHIA CHACHA P.O Box 5455, DAR 6 MWAJUMA SELEMANI P.O Box 447,
MWITA ES SALAAM MSAFIRI Masasi, Mtwara
7 TUMEPEWA AMSON P.O Box 229, 8 BERTHA GIBSON P.O Box 20,
Swila Rukwa Kigoda Mwanza
9 ADELINA ELIAZAR P.O Box 200, 10 RAHEL SIMON P.O Box 472,
Jackson Mwanza Shadrack Shinyanga
11 ASHA SELEMANI P.O Box 30112, 12 CHRISTINA SAMAMBA P.O Box 320,
Mwanza Pwani Sendeha Morogoro
13 MERCY JACKSON URIO P.O Box 55068, 14 MERECIANA CHARLES P.O Box 472,
Dar Es Salaam Herman Shinyanga
15 FLORA DAUD HUNGE P.O Box 19, 16 RIVALDO RONALDI P.O Box 54,
Tabora Kitomari Arusha
17 SIABA HASSAN P.O Box 30153, 18 BRIGITHA LEWANGA P.O Box 93,
KIPENGELE Kibaha, Pwani STEPHANE KILIMANJARO
19 SYLIVIA ATUGONZA P.O Box 171, 20 YUSTA ELIGIUSY P.O Box 219, MARA
Linus Kagera Mbala
21 DEUGRATIAS RASHID P.O Box 174, 22 SHARIFA IBRAHIM P.O Box 174,
Msengi Tabora Kumbota Tabora
23 MARTHA SULEIMAN P.O Box 1207, 24 UMMUL-KULTHUM P.O Box 0, PWANI
Madebe Mara Jumbe Muhaji
25 DOROTHEA SAMSON P.O Box 1249, 26 BERTHA CHOTA SOLO P.O Box 228, GEITA
Stephen Dodoma
27 AMINA HAMISI P.O Box 174, 28 AMISA AKIZA ABDU P.O Box 174,
Mustapha Tabora Tabora
29 PENDO BUCHWETE P.O Box 174,
Fitina Tabora
Limetolewa Na;
Mkurugenzi Mtendaji
4
Halmashauri Ya Wilaya Ya Ushetu
5
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
