# TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/11/09/tangazo-la-kuitwa-kwenye-usaili-halmashauri-ya-wilaya-ya-ushetu/
- Published: 2026-11-09T07:52:24+00:00
- Author: 

**tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya ushetu** is an official
call for interviews published by Ajira Tanzania on 09 November 2026.

## Announcement Details

**Announcement type:** Call for Interviews

**Official reference:** 0be6f57a-d5df-4242-957e-1a40ed4d5025

## Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Ushetu

## Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

## Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa

## Halmashauri Ya Wilaya Ya Ushetu

Kumb.Na.FA.97/228/01/A/26/01 07/11/2026

## Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi
wote walioomba kazi kuwa

usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/11/2026 hadi 17/11/2026 hatimaye
kuwapangia vituo vya kazi

waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa
kuzingatia maelekezo

yafuatayo:-

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda 
na sehemu ambapo usaili

utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho
cha Mpiga kura,

Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva
au barua ya

utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.

4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,
kidato cha IV, VI, Astashahada,

Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi
husika.

5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’,
hati za matokeo za kidato

cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA
KUENDELEA NA

## Usaili.

6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na 
vyeti vyao Halisi vya Usajili

pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa
anapaswa kuhudhuria usaili akiwa

na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.

8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na
kuidhinishwa na Mamlaka

husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma
nje ya Tanzania

wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.

9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye
akaunti zao za ‘Ajira

Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.

10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti 
zao na kunakili namba ya usaili.

Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka
barua pepe (email

address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.

11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha
Hati ya Kiapo cha

Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.

12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa
kwa lengo la kupata ajira au

kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, 
na uwazi, kwa kuzingatia sifa

stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara
inayohusika.

## Ratiba Ya Usaili Vitendo

## Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 07:00:00 Usaili wa Vitendo 
utafanyika

Ushetu (DRIVER II) kwenye uwanja wa Shule ya

Sekondari Nyamilangano

Amali iliyopo katika Kata ya

Nyamilangano

Halmashauri ya Wilaya ya MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-16 07:00:00 Usaili wa Vitendo
utafanyika

Ushetu OFISI DARAJA LA II kwenye ukumbi wa Shule ya

(OFFICE MANAGEMENT Sekondari Nyamilangano

SECRETARY GRADE II) Amali iliyopo katika Kata ya

Nyamilangano

## Ratiba Ya Usaili Mahojiano

## Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-17 07:00:00 Usaili wa Mahojiano

Ushetu (DRIVER II) utafanyika katika ukumbi wa

Hospitali ya Wilaya iliyopo

Kata ya Nyamilangano

Halmashauri ya Wilaya ya MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-17 07:00:00 Usaili wa Mahojiano

Ushetu OFISI DARAJA LA II utafanyika katika ukumbi wa

(OFFICE MANAGEMENT Hospitali ya Wilaya iliyopo

SECRETARY GRADE II) Kata ya Nyamilangano

1

## Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Ushetu

## Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)

## Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 07:00:00

MAHALI: Usaili wa Vitendo utafanyika kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Nyamilangano

Amali iliyopo katika Kata ya Nyamilangano

## Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00

MAHALI: Usaili wa Mahojiano utafanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Wilaya iliyopo
Kata ya

Nyamilangano

## Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 FADHILI IBRAHIM P.O Box 104, 2 JOSEPH NYANDA P.O Box 174,

MARANYA Urambo, Tabora GERALD Tabora, Tabora

3 HASSANI HAMIS P.O Box 1333, 4 BARNABAS MOMBOJA P.O Box 11270,

MWEMISI Nyamagana, WANA Kinondoni, Dar es

Mwanza Salaam

5 STANLEY STAFFORD P.O Box 34, 6 ASTERICHO MATHIAS P.O Box 92,

## Rwakatale Tabora Lugola Mtwara

7 MDANDI PHILIPO P.O Box 1, GEITA 8 JACKSON GEORGE P.O Box 618,

## Mussa Chitila Tabora

9 PETER DEOGRATIAS P.O Box 9024, DAR 10 JOVINE JUMA P.O Box 19189,

MABADA ES SALAAM NGONYANI Temeke, Dar es

Salaam

11 NEHEMIAH SHIJA P.O Box 735, 12 ELIAH DOMINICK P.O Box 10542,

## Kadala Mwanza Vedastus Mwanza

13 ISMAIL ABDUL NASIBU P.O Box 376, 14 OREDI TADEI MHANGA P.O Box 2324,

Kinondoni, Dar es IRINGA

Salaam

15 DONARD MASUKE P.O Box 1333, 16 MULOKOZI JOHN PAUL P.O Box 28,

LIMBU Nyamagana, Shinyanga, Shinyang

Mwanza a

17 MICHAEL JOHANES P.O Box 4347, Ilala, 18 RADIUS COSTATINE P.O Box 65474,

BALIYANGA Dar es Salaam MGAMBWA DAR ES SALAAM

19 SALIM MAHMOUD P.O Box 20, 20 GASPARY MORRICE P.O Box 462,

JUMANNE Misungwi, Mwanza GAITANI ARUSHA

21 HAROLD WILSON MTUI P.O Box 254, 22 KISENA SAMSON P.O Box 807,

Songea, Ruvuma SENGA MWANZA

23 JOFREY PAUL P.O Box 1, ARUSHA 24 EMMANUEL ERNEZA P.O Box 4706, DAR

## Nkungulu Madeghe Es Salaam

25 SABRI ISSA SHABANI P.O Box 75163, 26 KAZIMIL PETRO ELIAS P.O Box 88,

## Dar Es Salaam Mwanza

27 JEREMIAH PETER P.O Box 88, 28 PAUL HAMISI SIST P.O Box 3,

KATAN Kwimba, Mwanza Tunduma, Mbeya

29 MACMILLAN GASPER P.O Box 411, 30 MORICE SADICK P.O Box 443,

## Msimbe Morogoro Nanda Kigoma

31 ATHUMAN MADARAKA P.O Box 472, 32 AZARIA MAREMBO P.O Box 1414,

## Mabuga Shinyanga Waarunya Mara

33 KELVIN FANUEL P.O Box 743, DAR 34 HAMIS TWAHA HAMIS P.O Box 1999,

KIPESHA ES SALAAM Moshi, Kilimanjaro

2

## Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

35 EMANUEL EPHRAIM P.O Box 743, 36 RAJABU HASSANI P.O Box 743,

MBENA Dodoma, Dodoma ABDALLAH Dodoma, Dodoma

37 GODFREY THOBIAS P.O Box 526, 38 JOELY ESSAU MZAVA P.O Box 45375,

KAGANDA Bariadi, Simiyu Temeke, Dar es

Salaam

39 EMMANUEL JABIL OBED P.O Box 1333, , 40 SABATO ELIEZER P.O Box 43,

Mwanza MUGANDA Kibondo, Kigoma

41 JOSEPH SELYA P.O Box 44, SIMIYU 42 SAMWEL CASMIRY P.O Box 1923,

PASCHAL KAHINDI Dodoma, Dodoma

43 SAID HILAL KHASIMU P.O Box 73, 44 MUSSA CLEMENT P.O Box 140,

## Tabora Mgalula Tabora

45 FITINA ZANZIBAR P.O Box 44, 46 DIANA JOHN MATHIAS P.O Box 20,

NYAMLALA MWANZA Misungwi, Mwanza

47 AJILI AJILI SONEJE P.O Box 65, 48 GODFREY CHARLES P.O Box 28,

MOROGORO GAMBASENI Shinyanga, Shinyang

a

49 BARAKA MUSA P.O Box 44, SIMIYU 50 HOSEA DANIEL P.O Box 44, SIMIYU

## Hoyanga Hoyanga

51 SULEIM SINAN SAID P.O Box 139, GEITA 52 PHILIPO MABULA JOHN P.O Box 1333,

## Mwanza

53 ERNEST HAMISI P.O Box 31902, 54 IDDI MUSTAFA P.O Box 31211,

## Mwendwa Dar Es Salaam Ramadhani Dar Es Salaam

55 FABIANI KAMALI P.O Box 55,

CHRISPINE Ukerewe, Mwanza

3

## Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Ushetu

## Kada: Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja La Ii (Office Management

## Secretary Grade Ii)

## Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 07:00:00

MAHALI: Usaili wa Vitendo utafanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyamilangano

Amali iliyopo katika Kata ya Nyamilangano

## Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00

MAHALI: Usaili wa Mahojiano utafanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Wilaya iliyopo
Kata ya

Nyamilangano

## Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 WELIMA PETER P.O Box 472, 2 JESCA MWANDU P.O Box 174,

## Masatu Shinyanga Luhaga Tabora

3 ANTONIA GODFREY P.O Box 252, 4 MALIMA MUSIBA P.O Box 149,

RUTUMBANYA Bariadi, Simiyu MALIMA MBEYA

5 SOPHIA CHACHA P.O Box 5455, DAR 6 MWAJUMA SELEMANI P.O Box 447,

MWITA ES SALAAM MSAFIRI Masasi, Mtwara

7 TUMEPEWA AMSON P.O Box 229, 8 BERTHA GIBSON P.O Box 20,

## Swila Rukwa Kigoda Mwanza

9 ADELINA ELIAZAR P.O Box 200, 10 RAHEL SIMON P.O Box 472,

## Jackson Mwanza Shadrack Shinyanga

11 ASHA SELEMANI P.O Box 30112, 12 CHRISTINA SAMAMBA P.O Box 320,

## Mwanza Pwani Sendeha Morogoro

13 MERCY JACKSON URIO P.O Box 55068, 14 MERECIANA CHARLES P.O Box 472,

## Dar Es Salaam Herman Shinyanga

15 FLORA DAUD HUNGE P.O Box 19, 16 RIVALDO RONALDI P.O Box 54,

## Tabora Kitomari Arusha

17 SIABA HASSAN P.O Box 30153, 18 BRIGITHA LEWANGA P.O Box 93,

KIPENGELE Kibaha, Pwani STEPHANE KILIMANJARO

19 SYLIVIA ATUGONZA P.O Box 171, 20 YUSTA ELIGIUSY P.O Box 219, MARA

## Linus Kagera Mbala

21 DEUGRATIAS RASHID P.O Box 174, 22 SHARIFA IBRAHIM P.O Box 174,

## Msengi Tabora Kumbota Tabora

23 MARTHA SULEIMAN P.O Box 1207, 24 UMMUL-KULTHUM P.O Box 0, PWANI

## Madebe Mara Jumbe Muhaji

25 DOROTHEA SAMSON P.O Box 1249, 26 BERTHA CHOTA SOLO P.O Box 228, GEITA

## Stephen Dodoma

27 AMINA HAMISI P.O Box 174, 28 AMISA AKIZA ABDU P.O Box 174,

## Mustapha Tabora Tabora

29 PENDO BUCHWETE P.O Box 174,

## Fitina Tabora

## Limetolewa Na;

## Mkurugenzi Mtendaji

4

## Halmashauri Ya Wilaya Ya Ushetu

5

## Official Source

Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published
by Ajira Tanzania.
