Skip to content
Call for Interviews November 13, 2026

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO

November 13, 20263 min read
tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya kakonko

tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya kakonko is an official call for interviews published by Ajira Tanzania on 13 November 2026.

Announcement Details

Announcement type: Call for Interviews

Official reference: 840a576e-145d-4386-bbcb-5279b97de541

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Kakonko

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa

Halmashauri Ya Wilaya Ya Kakonko

: Kumb.Na.Fa. 109/214/01/26 13/11/2026

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba

kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20/11/2026 hadi 21/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya

kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo

yafuatayo:-

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili

utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,

Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya

utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.

4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada,

Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.

5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato

cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA

Usaili.

6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili

pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa

na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.

8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka

husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania

wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.

9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira

Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.

10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.

Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email

address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.

11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha

Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.

12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au

kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa

stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.

Ratiba Ya Usaili Vitendo

Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-20 07:00:00 UKUMBI WA HALMASHAUR

Kakonko (DRIVER II) I YA ZAMANI KAKONKO DC

Ratiba Ya Usaili Mahojiano

Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-21 07:00:00 UKUMBI WA HALMASHAUR

Kakonko (DRIVER II) I YA ZAMANI KAKONKO DC

1

Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Kakonko

Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)

Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-20 07:00:00

Mahali: Ukumbi Wa Halmashauri Ya Zamani Kakonko Dc

Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-21 07:00:00

Mahali: Ukumbi Wa Halmashauri Ya Zamani Kakonko Dc

Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 IDRISA ISIHAKA P.O Box 45691,

MWINYIMKUU Temeke, Dar es

Salaam

Limetolewa Na;

Mkurugenzi Mtendaji

Halmashauri Ya Wilaya Ya Kakonko

2

Official Source

Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.

Opportunity status: Deadline not provided

About the author