# TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KITETO

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/11/13/tangazo-la-kuitwa-kwenye-usaili-halmashauri-ya-wilaya-ya-kiteto-2/
- Published: 2026-11-13T09:54:09+00:00
- Author: 

**tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya kiteto** is an official
call for interviews published by Ajira Tanzania on 13 November 2026.

## Announcement Details

**Announcement type:** Call for Interviews

**Official reference:** fa39a71e-b767-4f46-b53c-cb9c0cbd4fd8

## Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Kiteto

## Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

## Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa

## Halmashauri Ya Wilaya Ya Kiteto

Kumb Na HMW/KT/SV.30/VOL.I/07/2 12/11/2026

## Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto anapenda kuwataarifu Waombaji
Kazi wote walioomba kazi

kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/11/2026 hadi 17/11/2026 hatimaye
kuwapangia vituo vya kazi

waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa
kuzingatia maelekezo

yafuatayo:-

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda 
na sehemu ambapo usaili

utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho
cha Mpiga kura,

Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva
au barua ya

utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.

4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,
kidato cha IV, VI, Astashahada,

Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi
husika.

5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’,
hati za matokeo za kidato

cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA
KUENDELEA NA

## Usaili.

6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na 
vyeti vyao Halisi vya Usajili

pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa
anapaswa kuhudhuria usaili akiwa

na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.

8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na
kuidhinishwa na Mamlaka

husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma
nje ya Tanzania

wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.

9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye
akaunti zao za ‘Ajira

Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.

10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti 
zao na kunakili namba ya usaili.

Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka
barua pepe (email

address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.

11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha
Hati ya Kiapo cha

Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.

12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa
kwa lengo la kupata ajira au

kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, 
na uwazi, kwa kuzingatia sifa

stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara
inayohusika.

## Ratiba Ya Usaili Vitendo

## Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 07:00:00 UKUMBI WA MAKTABA

Kiteto (DRIVER II)

## Ratiba Ya Usaili Alama Za Barabarani

## Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 07:00:00 UKUMBI WA MAKTABA

Kiteto (DRIVER II)

## Ratiba Ya Usaili Mahojiano

## Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-17 07:00:00 UKUMBI WA MAKTABA

Kiteto (DRIVER II)

1

## Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Kiteto

## Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)

## Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 07:00:00

## Mahali: Ukumbi Wa Maktaba

## Tarehe Ya Usaili Wa Alama Za Barabarani: 2026-11-16 07:00:00

## Mahali: Ukumbi Wa Maktaba

## Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00

## Mahali: Ukumbi Wa Maktaba

## Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 SELEMAN ABDILLAH P.O Box 2330,

## Mchinja Arusha

## Limetolewa Na;

## Mkurugenzi Mtendaji

## Halmashauri Ya Wilaya Ya Kiteto

2

## Official Source

Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published
by Ajira Tanzania.
