# TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

- Link: https://kilimanjaroyetu.com/2026/11/14/tangazo-la-kuitwa-kwenye-usaili-halmashauri-ya-wilaya-ya-liwale-2/
- Published: 2026-11-14T19:14:44+00:00
- Author: 

**tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya liwale** is an official
call for interviews published by Ajira Tanzania on 14 November 2026.

## Announcement Details

**Announcement type:** Call for Interviews

**Official reference:** a86bead5-fe49-4975-8358-b0e21b2bcc14

## Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Liwale

## Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

## Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa

## Halmashauri Ya Wilaya Ya Liwale

Kumb.Na.HA.263/300/01/91 14/11/2026

## Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi
wote walioomba kazi kuwa

usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/11/2026 hadi 19/11/2026 hatimaye
kuwapangia vituo vya kazi

waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa
kuzingatia maelekezo

yafuatayo:-

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda 
na sehemu ambapo usaili

utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho
cha Mpiga kura,

Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva
au barua ya

utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.

4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,
kidato cha IV, VI, Astashahada,

Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi
husika.

5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’,
hati za matokeo za kidato

cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA
KUENDELEA NA

## Usaili.

6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na 
vyeti vyao Halisi vya Usajili

pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa
anapaswa kuhudhuria usaili akiwa

na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.

8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na
kuidhinishwa na Mamlaka

husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma
nje ya Tanzania

wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.

9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye
akaunti zao za ‘Ajira

Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.

10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti 
zao na kunakili namba ya usaili.

Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka
barua pepe (email

address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.

11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha
Hati ya Kiapo cha

Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.

12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa
kwa lengo la kupata ajira au

kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, 
na uwazi, kwa kuzingatia sifa

stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara
inayohusika.

## Ratiba Ya Usaili Alama Za Barabarani

## Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 07:00:00 SHULE YA SEKONDARI
YA

Liwale (DRIVER II) KUTWA LIWALE (LIWALE

## Day Secondary

## School)

## Ratiba Ya Usaili Vitendo

## Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 10:00:00 SHULE YA SEKONDARI
YA

Liwale (DRIVER II) KUTWA LIWALE (LIWALE

## Day Secondary

## School)

## Ratiba Ya Usaili Mahojiano

## Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-17 07:00:00 SHULE YA SEKONDARI
YA

Liwale (DRIVER II) KUTWA LIWALE (LIWALE

## Day Secondary

## School)

Halmashauri ya Wilaya ya MSAIDIZI WA KUMBUKUMB 2026-11-19 07:00:00 SHULE YA SEKONDARI
YA

Liwale U DARAJA LA II (RECORDS KUTWA LIWALE (LIWALE

## Management Assistant Day Secondary

## Ii) School)

## Ratiba Ya Usaili Mchujo

## Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya MSAIDIZI WA KUMBUKUMB 2026-11-18 07:00:00 SHULE YA SEKONDARI
YA

Liwale U DARAJA LA II (RECORDS KUTWA LIWALE (LIWALE

## Management Assistant Day Secondary

## Ii) School)

1

## Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)

## Tarehe Ya Usaili Wa Alama Za Barabarani: 2026-11-16 07:00:00

## Mahali: Shule Ya Sekondari Ya Kutwa Liwale (Liwale Day Secondary

## School)

## Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 10:00:00

## Mahali: Shule Ya Sekondari Ya Kutwa Liwale (Liwale Day Secondary

## School)

## Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00

## Mahali: Shule Ya Sekondari Ya Kutwa Liwale (Liwale Day Secondary

## School)

## Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 SELEMANI ALLY P.O Box 1070, LINDI

## Mnumba

2

## Kada: Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La Ii (Records Management Assistant

## Ii)

## Tarehe Ya Usaili Wa Mchujo: 2026-11-18 07:00:00

## Mahali: Shule Ya Sekondari Ya Kutwa Liwale (Liwale Day Secondary

## School)

## Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-19 07:00:00

## Mahali: Shule Ya Sekondari Ya Kutwa Liwale (Liwale Day Secondary

## School)

## Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 JUMA AMRI MAJAWA P.O Box 1070, LINDI 2 ELIZABETH DAMIAN P.O Box 291, LINDI

## Beatusi

3 FAIDHA YASINI P.O Box 3027, 4 VEDASTUS JUMBE P.O Box 166,

## Ndumba Morogoro Majula Morogoro

## Limetolewa Na;

## Mkurugenzi Mtendaji

## Halmashauri Ya Wilaya Ya Liwale

3

## Official Source

Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published
by Ajira Tanzania.
