JOBS July 18, 2026
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UHAZILI (SECRETARIAL STUDIES) at Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
July 18, 20261 min read
Job Overview
Employer: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Advert reference: Ajira #13753
Role: MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UHAZILI (SECRETARIAL STUDIES)
Open posts: 5 positions
Published: 18 July 2026
Deadline: 31 July 2026
Salary scale: TGS C
Duties and Responsibilities
- Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
- Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo; iii. Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
- Kutunza vifaa vya kufundishia;
- Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
- Kutoa ushauri wa kitaalam;
- Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
- Kutunga na kusahihisha mitihani;
- Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
- Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya uhazili (Secretarial Studies) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.