MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II- MAGARI(MOTOR VEHICLE MECHANICS) at Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Job Overview
Employer: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Advert reference: Ajira #13751
Role: MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II- MAGARI(MOTOR VEHICLE MECHANICS)
Open posts: 5 positions
Published: 18 July 2026
Deadline: 31 July 2026
Salary scale: TGS C
Duties and Responsibilities
i. Kufundisha masomo ya fani ya Magari katika vyuo;
ii. Kuandaa mitiririko na mpangilio wa masomo;
iii. Kusimamia masomo ya vitendo;
iv. Kuwapima wanachuo wakati wa mazoezi na kwenye mitihani;
v. Kufanya utafiti wa mahitaji ya mafunzo katika Jamii inayozunguka chuo;
vi. Kuandaa muhtasari wa masomo;
vii. Kufanya maandalizi ya namna ya kuendesha mafunzo;
viii. Kuandaa vielelezo vya kufundishia;
ix. Kuendesha mafunzo ya nje ya Chuo (Outreach Programs); na
x. Kutunga, Kusimamia na Kusahihisha mitihani.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada katika fani ufundi wa Magari kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.