Skip to content
JOBS July 24, 2026

AFISA ARDHI DARAJA LA II (LAND OFFICER II) at Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

July 24, 20261 min read

Job Overview

Employer: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Advert reference: Ajira #13758

Role: AFISA ARDHI DARAJA LA II (LAND OFFICER II)

Open posts: 40 positions

Published: 24 July 2026

Deadline: 06 August 2026

Salary scale: TGS.E

Duties and Responsibilities

  1. Kuingiza kumbukumbu katika kompyuta;
  2. Kutoa ushauri kwa wateja;
  3. Kupokea, kukagua na kusambaza majalada kwa maafisa kwa utekelezaji.
  4. Kusaidia Maafisa Ardhi katika ukaguzi na kuchukua kumbukumbu, picha taarifa, vipimo vya majumba na michoro;
  5. Kujumuisha na kuandaa taarifa za ukaguzi;
  6. Kuandaa rasimu za Hati na uingizaji wa plani ya Hati (deed plan);
  7. Kuagiza plani za Hati (Deed Plan).

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi ardhi na Uthamini au Shahada ya Sheria kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author