Skip to content
JOBS September 3, 2026

AFISA MIFUGO DARAJA LA II (LIVESTOCK OFFICER GRADE II) at MDAs & LGAs

September 3, 20262 min read

Job Overview

Employer: MDAs & LGAs

Advert reference: Ajira #14152

Role: AFISA MIFUGO DARAJA LA II (LIVESTOCK OFFICER GRADE II)

Open posts: 39 positions

Published: 03 September 2026

Deadline: 17 September 2026

Salary scale: TGS.D

Duties and Responsibilities

  1. Kubuni mipango ya uzalishaji mifugo wilayani;
  2. Kuratibu uzalishaji wa mifugokatikamashamba madogo na makubwa ya mifugo;
  3. Kusaidia kuratibu mipango ya ugani kuhusiana na uzalishaji wa mifugo wilayani;
  4. Kuratibuna kuendesha mafunzo ya ufugajibora, usindikaji wa mazao ya mifugo kwa wataalam wa mifugo na wafugaji;
  5. Kufanyamapitio na marekebisho ya miundombinu ya masoko ya mifugo wilayani kwake na mkoani;
  6. Kubuni, kuanzisha na kutekeleza miradi ya maendeleo ya mifugo wilayani;
  7. Kufanya soroveya ya rasilimali (resource survey) k.m. mifugo, vyakula vya mifugo, malisho n.k. katika eneo lake la kazi;
  8. Kuendesha mafunzokwa mawakala, wauzaji na wataalam juu ya njia salama katika kuweka na kusambaza pembejeo za mifugo;
  9. Kutafiti maeneo mapya yanayofaa kwa ufugaji wa mifugo mbalimbali;
  10. .Kufanya tathmini juu ya uharibifu wa mazingira unaotokana na ufugaji katika wilaya;
  11. .Kushiriki katika shughuli za kudhibiti milipuko ya wanyama/viumbe waharibifu wa malisho;
  12. Kufuatilia,kuweka, kuchambua na kutafsiri takwimu za uzalishaji wa mifugo;
  13. Kuandaa taarifa ya jumla juu ya maendeleo ya mifugo;
  14. .Kufanya kazi nyingine zinazohusianana fani yake kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.

 

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Wanyama (Animal Science) au Sayansi ya Kilimo waliobobea katika Sayansi ya Wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine au sifa inayolingana na hiyo kutoka chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

 

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author